18 Machi 2023 13:38
“Redio Sputnik” yatangaza Taarifa kuhusu Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
Mnamo Machi 18, 2023, “Redio Sputnik” ilitangaza taarifa ndefu kuhusu Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika "Afrika. Kurejea".
16 Machi 2023 21:39
Sinodi Takatifu yasisitiza umuhimu wa miradi ya pamoja ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi na Kanisa la Ethiopia
Mnamo Machi 16, 2023, katika mkutano wa Sinodi Takatifu, Metropolitani wa Volokolamsk Antoni, Mwenyekiti wa Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Taasisi za Nje, aliwasilisha ripoti ya mkutano wa pili wa Tume ya Mazungumzo ya Pande Mbili, kati ya ...
11 Machi 2023 18:35
Mafunzo ya kawaida ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yaanza
Safari hii, masomo na mazoezi ya liturgia yataendeshwa kwa lugha ya Kifaransa.
02 Machi 2023 09:11
Ziara ya kikundi cha wamisionari chini ya uongozi wa Padri Georgi Maksimov inaendelea
Kule Kigali, mji mkuu wa Rwanda, Padri Georgi na mmisionari A.V. Lyulka walikutana na jamii ya Esarkia, ikiongozwa na Msomaji Stefan.
27 Febuari 2023 14:07
Mafunzo ya kawaida kwa makasisi na walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yakamilika
Mmisionari A.V. Lyulka alitoa mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu katika majimbo yote tisa ya Kenya, mkazo maalum ukiwekwa katika masuala ya eklezia na skismolojia, sakramenti za Ubatizo na Toba katika maisha ya mkristo.
24 Febuari 2023 08:46
Watu 20 wapata Ubatizo Mtakatifu katika parokia ya Mtakatifu Yohana Zlatoust mjini Nyamata (Rwanda)
Baadaye, Padri Georgi Maksimov alikutana na Balozi wa Urusi nchini Rwanda, K.D. Chalyan.
15 Febuari 2023 14:18
Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, azuru Kamerun
Tarehe 12 Februari 2023, katika Wiki ya Mwana Mpotevu, siku ya kumbukizi ya walimu wa kiekumeni na watakatifu Basil Mkuu, Gregori Mtheolojia na Yohana Zlatousti, iliadhimishwa Liturgia ya upatanisho katika kanisa la Ufufuo wa Kristo ...
15 Febuari 2023 14:10
Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yapata cheti cha usajili wa kiserikali nchini Kenya
Hii ni nchi ya sita barani Afrika ambako Esarkia ya Kipatriarki imethibitisha uwepo wake kisheria.
15 Febuari 2023 13:37
Ujumbe wa Kanisa la Ethiopia wazuru Urusi
Mnamo Februari 11, 2023, kwa mwaliko wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill, na kwa baraka za Mtakatifu Patriarki-Katholikos wa Ethiopia Abuna Matayo, wajumbe wa Kanisa la Ethiopia waliwasili Mosko ili kushiriki katika kikao cha ...
09 Febuari 2023 21:08
Esarkia ya Kipatriarki inaendelea kutekeleza miradi ya elimu katika nchi za Afrika
Mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka alifanya mihadhara katika vituo vya watoto yatima vya Mtume Petro katika kijiji cha Gesonso na Askofu Mkuu Atanasius katika kijiji cha Nyabigega (wilaya ya Kisii, Kenya).
09 Febuari 2023 21:06
Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia akutana na Mkuu wa Kitengo cha Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa cha Rossotrudnichestvo
Mnamo tarehe 6 Februari, 2023, mjini Mosko, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alikutana na Mkuu wa Kitengo cha Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa cha Rossotrudnichestvo A.V. Sicheva.
01 Febuari 2023 18:43
Katika Wiki ya 33 ya Pentekoste, kulifanyika ibada katika Kituo cha Sayansi na Utamaduni cha Urusi nchini Tanzania.
Liturgia Takatifu iliendeshwa na Baba Paroko Filaret (Kimaro) na Padri Konstantin Shoki.
28 Januari 2023 00:46
Metropolitani Varsonofi akutana na wanafunzi wa SPbDA kutoka Afrika na Kusini-mashariki mwa Asia.
Kikundi cha wanafunzi kiliambatana na mkuu wa Chuo, Askofu Siluan wa Peterhof.
28 Januari 2023 00:36
Mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu yatolewa katika parokia mbili za Esarkia nchini Kenya
Mihadhara hiyo inatolewa na mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka.
23 Januari 2023 20:34
Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika imepata cheti cha usajili nchini Tanzania
Hii ni nchi ya tano katika bara la Afrika ambako Esarkia ya Kipatriarki imeimarisha kisheria uwepo wake.