29 Septemba 2023 20:28
Metropolitani wa Klin Leonid akutana na kiongozi wa Kanisa lisilo rasmi la Kameruni
Mnamo Septemba 25, katika viwanja vya Kanisa la Watakatifu Wote pale Kulishki, Mosko, Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid, alikutana na Daudi Kwin, "askofu" wa kanisa lisilo rasmi la Kameruni.
11 Agosti 2023 20:43
Metropolitani wa Klin Leonid: Makasisi wa Esarkia nchini Afrika Kusini washuhudia kuongezeka kwa shauku kwa Uothodoksi kati ya vijana
Katika ukurasa wake wa “telegram”, Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid, alizungumza juu ya maendeleo ya misioni ya Esarkia ya Kipatriarki nchini Afrika Kusini. Padri Yakobo Smutsi anaendelea kutekeleza wajibu wake wa utumishi, ...
11 Agosti 2023 20:42
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya jamii ya watu wasio waumini nchini Gabon, kujiunga na Kanisa la Urusi
Kwa ajili ya jambo hili, mmisionari A.V. Lyulka aliizuru Gabon na kufanya mihadhara ya katekisti katika parokia zote nne za jamii hiyo – kule Librevilli, Ntum na katika kijiji cha Abing Assi. “Waumini walisikiliza mihadhara kwa ...
01 Julai 2023 15:17
Safari ya Mwenyekiti wa Idara ya Wamishonari ya Esarkia kwenda Angola imekamilika
Safari ya mwenyekiti wa Idara ya Kimisionari ya Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi kutoka Esarkia ya Africa, Padri George Maximov, kwenda Angola imekamilika.
09 Juni 2023 15:57
Ibada ya kujiunga na Orthodoxy ilifanyika katika parokia za nchini Rwanda na Burundi
Mnamo tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sherehe ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), nchini Rwanda, baada ya tangazo la muda mrefu, watu watatu wasiokuwa Waorthodoksi – Konstantin, Elena na David – walikubaliwa kuingia kawenye ...
10 Mei 2023 19:30
Vitabu vya maombi, katika lugha ya Kimalagasi, vyachapishwa
Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaendelea kufanya kazi ya kutafsiri fasihi ya kidini katika lugha za Kiafrika.
18 Machi 2023 18:13
Esarkia ya Kipatriaki inaendelea kuimarisha mwelekeo wa Misioni katika Elimu
Kazi inaendelea katika mojawapo ya maeneo ya kipaumbele zaidi kwa misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika - elimu.
11 Machi 2023 18:35
Mafunzo ya kawaida ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yaanza
Safari hii, masomo na mazoezi ya liturgia yataendeshwa kwa lugha ya Kifaransa.
02 Machi 2023 09:11
Ziara ya kikundi cha wamisionari chini ya uongozi wa Padri Georgi Maksimov inaendelea
Kule Kigali, mji mkuu wa Rwanda, Padri Georgi na mmisionari A.V. Lyulka walikutana na jamii ya Esarkia, ikiongozwa na Msomaji Stefan.
24 Febuari 2023 08:46
Watu 20 wapata Ubatizo Mtakatifu katika parokia ya Mtakatifu Yohana Zlatoust mjini Nyamata (Rwanda)
Baadaye, Padri Georgi Maksimov alikutana na Balozi wa Urusi nchini Rwanda, K.D. Chalyan.
28 Januari 2023 00:36
Mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu yatolewa katika parokia mbili za Esarkia nchini Kenya
Mihadhara hiyo inatolewa na mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka.