12 Oktoba 2023 16:02
Mkutano wa kwanza wa undugu wa Kiothodoksi wa Mtakatifu Musa Murin wafanyika katika parokia ya Mtakatifu Nyektarius nchini Kenya
Mkutano wa kwanza wa undugu wa Kiothodoksi, kwa heshima ya Mtakatifu Musa Murin, ulifanyika katika parokia ya Mtakatifu Nyektarius nchini Kenya (dekania ya Vihiga).
03 Oktoba 2023 13:36
Tamasha la “Afrika ya Kiothodoksi” lafanyikaиnchini Tanzania
Mnamo Septemba 22, Ofisi ya Jumba la Urusi mjini Dar es Salaam, Tanzania, iliendesha tamasha la uelimishaji wa kiroho - "Afrika ya Kiothodoksi".
25 Agosti 2023 18:20
Monasteri ya kwanza, ya wanawake, ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi, inatarajiwa kufunguliwa nchini Kenya
Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid, alisema kuwa mtawa Matrona (Dzhepchirchir), baada ya kukamilisha mazoezi ya utawa kule Mosko, ataweza kuwa abbessi na kuongoza nyumba ya watawa nchini Kenya, katika siku zijazo hivi karibuni.
22 Agosti 2023 14:07
Kwaya ya watoto yaundwa katika parokia ya Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni
Katika kanisa la Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni(Afrika Kusini), kumeanzishwa mafundisho ya kwaya ya watoto.
11 Agosti 2023 20:43
Metropolitani wa Klin Leonid: Makasisi wa Esarkia nchini Afrika Kusini washuhudia kuongezeka kwa shauku kwa Uothodoksi kati ya vijana
Katika ukurasa wake wa “telegram”, Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid, alizungumza juu ya maendeleo ya misioni ya Esarkia ya Kipatriarki nchini Afrika Kusini. Padri Yakobo Smutsi anaendelea kutekeleza wajibu wake wa utumishi, ...
11 Agosti 2023 20:42
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya jamii ya watu wasio waumini nchini Gabon, kujiunga na Kanisa la Urusi
Kwa ajili ya jambo hili, mmisionari A.V. Lyulka aliizuru Gabon na kufanya mihadhara ya katekisti katika parokia zote nne za jamii hiyo – kule Librevilli, Ntum na katika kijiji cha Abing Assi. “Waumini walisikiliza mihadhara kwa ...
28 Julai 2023 20:38
V.V. Putin: Kituo cha Urusi cha Elimu ya Kiroho kufunguliwa nchini Uganda
Uganda é um dos principais parceiros da Rússia na África, disse o presidente russo, Vladimir Putin, em uma reunião com o líder de Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, em São Petersburgo.
01 Julai 2023 15:24
Wakenya sita walibatizwa katika parokia ya Mtakatifu Vladimir huko Vihiga Kenya
Tarehe 25 Juni, katika Wiki ya 3 baada ya Pentekoste, Padre Kiriak Kipchumba aliadhimisha Ibada ya Misa takatifu katika parokia ya Mtakatifu Prince Vladimir Sawa-kwa-Mitume katika kijiji cha Serzhem wilaya ya Vihiga nchini Kenya.
01 Julai 2023 15:22
Ng’ombe anunuliwa kwa ajili ya watoto nchini Kenya kwa michango kutoka kwa waumini
Kwa michango ya waumini, ng’ombe alinunuliwa kwa ajili ya Kituo cha watoto yatima cha Mtakatifu Athanasius nchini Kenya (kijiji cha Nyabigege, wilayani Kisii).
01 Julai 2023 15:20
Idadi ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaongezeka
Mnamotarehe 25 Juni, katika Wiki ya 3 ya Pentekoste, mapadre Pavel Matov na Thomas Sebiranda, waliojiunga na Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, waliungana na Padri Pavel Bulek katika parokia hiyo kwa heshima ya Mtakatifu Prince Vladimir ...
01 Julai 2023 15:17
Safari ya Mwenyekiti wa Idara ya Wamishonari ya Esarkia kwenda Angola imekamilika
Safari ya mwenyekiti wa Idara ya Kimisionari ya Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi kutoka Esarkia ya Africa, Padri George Maximov, kwenda Angola imekamilika.
09 Juni 2023 16:01
Katika Parokia ya Mtakatifu Yakobo nchini Kenya, ilifanyika sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste
Mnamo tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre mkuu Peter Lutomia aliadhimisha Ibada ya Misa Takatifu katika parokia ya Mtakatifu Yakobo katika kijiji cha Chekalin nchini Kenya (Dekania ya Lugari, ...
09 Juni 2023 15:59
Sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste zilifanyika katika parokia ya Cape Town
Tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre Nikolai Esterhuizen mbaye ni Paroko wa Parokia hiyo, aliongoza Ibada ya Misa katika kanisa la Mtakatifu Yohane wa Ngazi huko Cape Town (Afrika Kusini). ...
09 Juni 2023 15:57
Ibada ya kujiunga na Orthodoxy ilifanyika katika parokia za nchini Rwanda na Burundi
Mnamo tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sherehe ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), nchini Rwanda, baada ya tangazo la muda mrefu, watu watatu wasiokuwa Waorthodoksi – Konstantin, Elena na David – walikubaliwa kuingia kawenye ...
05 Juni 2023 18:52
Katika kuadhimisha Sikukuu ya Utatu Mtakatifu, Ibada ya Liturujia ilifanyika nchini Kenya katika parokia ya Mtakatifu Pantaleon Shahidi mkuu na mponyaji
Tarehe 4 Juni 2023, Wiki ya 8 baada ya Pasaka, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), ibada ya Misa takatifu iliongozwa na Padre Mkuu Arseniy Chitwa katika parokia ya Mtakatifu Pantaleon Shahidi Mkuu na mponyaji huko ...