Esarkia ya  Kipatriarki ya Afrika  yapata  cheti cha usajili  wa  kiserikali nchini Kenya - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Esarkia ya  Kipatriarki ya Afrika  yapata  cheti cha usajili  wa  kiserikali nchini Kenya

Mnamo Februari 1, 2023, Esarkia ya Kipatriarki  ya Afrika ilikabidhiwa cheti cha  usajili wa kiserikali nchini Kenya.

Hivi sasa Esarkia imethibitisha  uwepo wake kisheria katika nchi sita za bara la AfrikaMapema, Kanisa lilikuwa limekwishapata vyeti vya usajili wa kiserikali nchini Zambia, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Uganda, Nigeria na Tanzania.

Shirikisha katika mitandao ya kijamii:

Taarifa zote zilizo na maneno muhimu