Архивы Habari - Page 3 of 6 - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Habari

Patriarki Mtakatifu Kirill ampongeza Askofu mkuu Leonid wa Klin kwenye kumbukumbu ya miaka 10 ya kuwekwa wakfu kwake Patriarki Mtakatifu Kirill wa Moscow na Urusi yote amempongeza Askofu mkuu wa Africa Metropolitani Leonid wa Klin kwenye kumbukumbu ya miaka 10 ya kuwekwa wakfu kwake kuwa Askofu. Katika Parokia ya Mtakatifu Yakobo nchini Kenya, ilifanyika sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste Mnamo tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre mkuu Peter Lutomia aliadhimisha Ibada ya Misa Takatifu katika parokia ya Mtakatifu Yakobo katika kijiji cha Chekalin nchini Kenya (Dekania ya Lugari, ... Sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste zilifanyika katika parokia ya Cape Town Tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre Nikolai Esterhuizen mbaye ni Paroko wa Parokia hiyo, aliongoza Ibada ya Misa katika kanisa la Mtakatifu Yohane wa Ngazi huko Cape Town (Afrika Kusini). ... Katika kuadhimisha Sikukuu ya Utatu Mtakatifu, ibada ya Misa Takatifu ilifanyika katika parokia ya Maombezi ya Theotokos na parokia ya Mtakatifu Leonid nchini Nigeria Tarehe 4 Juni, 2023, Wiki ya 8 ya Pasaka, katika kuadhimisha Sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre Daniel Agbaza na Padre Anastasy waliongoza ibada ya Misa takatifu katika parokia ya Maombezi ya Theotokos Mtakatifu katika kijiji cha ... Ibada ya kujiunga na Orthodoxy ilifanyika katika parokia za nchini Rwanda na Burundi Mnamo tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sherehe ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), nchini Rwanda, baada ya tangazo la muda mrefu, watu watatu wasiokuwa Waorthodoksi – Konstantin, Elena na David – walikubaliwa kuingia kawenye ... Katika kuadhimisha Sikukuu ya Utatu Mtakatifu, Ibada ya Liturujia ilifanyika nchini Kenya katika parokia ya Mtakatifu Pantaleon Shahidi mkuu na mponyaji Tarehe 4 Juni 2023, Wiki ya 8 baada ya Pasaka, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste),  ibada ya Misa takatifu iliongozwa na Padre Mkuu Arseniy Chitwa katika parokia ya Mtakatifu Pantaleon Shahidi Mkuu na mponyaji huko ... Mazoezi ya Kiliturgia kwa kundi la wanafunzi wa masomo ya ukasisi, wanaozungumza lugha ya Kifaransa, yahitimishwa Mafunzo ya darasani na pia mazoezi ya kiliturgia kwa kundi  la wanafunzi wa masomo ya ukasisi, wanaozungumza lugha ya Kifaransa, wa Esarkia ya Kipatriarki ya  Afrika, yamehitimishwa. Balozi wa Benin nchini Urusi akutana na kasisi wa Esarkia ya Afrika Mnamo tarehe 10 Mei, 2023, Balozi wa Jamhuri ya Benin katika Shirikisho la Urusi, Mh. Akambi Andre Okunlola-Biau, alikutana na kasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Parfeni Dansu, mjini Mosko. Vitabu vya maombi, katika lugha ya Kimalagasi, vyachapishwa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaendelea kufanya kazi ya kutafsiri fasihi ya kidini katika lugha za Kiafrika. Wakazi 14 wa Kaunti ya Nandi (Kenya) wabatizwa Sakramenti hiyo iliendeshwa na mkuu wa Dekania ya Nandi, Padri Tito Kipnjen.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki