26 Septemba 2023 20:18
Kasisi kutoka Afrika awaeleza wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Theolojia cha St. Petersburg kuhusu taratibu za liturgia za Wakristo wa Kiothodoksi nchini Tanzania
Mnamo Septemba 19, Chuo Kikuu cha Theolojia cha St. Petersburg kilifanya mhadhara wa kwanza katika kuzindua mwaka mpya wa masomo, kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa masomo ya Liturgia.
22 Agosti 2023 14:07
Kwaya ya watoto yaundwa katika parokia ya Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni
Katika kanisa la Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni(Afrika Kusini), kumeanzishwa mafundisho ya kwaya ya watoto.
22 Agosti 2023 14:04
Wanafunzi wa SpbDA kutoka nchi za Afrika wakutana na Askofu Mkuu wa Belarusi Yote
Mnamo Agosti 14, kule mjini Minsk, Askofu Mkuu wa Belarus Yote - Metropolitani wa Minsk na Zaslavski Benyamini, alikutana na wanafunzi kutoka nchi za Afrika wanaosoma katika Chuo cha Theolojia cha St. Petersburg.
14 Mei 2023 19:32
Mazoezi ya Kiliturgia kwa kundi la wanafunzi wa masomo ya ukasisi, wanaozungumza lugha ya Kifaransa, yahitimishwa
Mafunzo ya darasani na pia mazoezi ya kiliturgia kwa kundi la wanafunzi wa masomo ya ukasisi, wanaozungumza lugha ya Kifaransa, wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, yamehitimishwa.
25 Aprili 2023 18:57
Metropolitani wa Klin Leonid akutana na kundi la wanafunzi kutoka nchi za Afrika
Wanafunzi kutoka Uganda, Burundi, Kamerun na Madagaska wamewasili Moskco ili kujiunga na shule za teolojia, ambapo kwanza lazima wajifunze lugha ya Kirusi.
15 Aprili 2023 19:04
Mwenyekiti wa Idara ya Misioni atembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania)
Jioni ya Aprili 13, 2023, usiku wa kuamkia Ijumaa Kuu ya Wiki Takatifu, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alitembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania).
26 Machi 2023 20:24
Mazoezi ya Liturgia ya Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yanaendelea
Padri Sergii Voemava na wanafunzi wa kozi ya ufundishaji walishiriki katika huduma takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Nicholas kule Novaya Sloboda jijini Mosko, kwa Kifaransa.
18 Machi 2023 18:13
Esarkia ya Kipatriaki inaendelea kuimarisha mwelekeo wa Misioni katika Elimu
Kazi inaendelea katika mojawapo ya maeneo ya kipaumbele zaidi kwa misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika - elimu.
27 Febuari 2023 14:07
Mafunzo ya kawaida kwa makasisi na walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yakamilika
Mmisionari A.V. Lyulka alitoa mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu katika majimbo yote tisa ya Kenya, mkazo maalum ukiwekwa katika masuala ya eklezia na skismolojia, sakramenti za Ubatizo na Toba katika maisha ya mkristo.
28 Januari 2023 00:46
Metropolitani Varsonofi akutana na wanafunzi wa SPbDA kutoka Afrika na Kusini-mashariki mwa Asia.
Kikundi cha wanafunzi kiliambatana na mkuu wa Chuo, Askofu Siluan wa Peterhof.
28 Januari 2023 00:36
Mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu yatolewa katika parokia mbili za Esarkia nchini Kenya
Mihadhara hiyo inatolewa na mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka.