Архивы Video - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Video

Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki washiriki ibada ya Pasaka katika Kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko Usiku wa Aprili 15-16, 2023, katika maadhimisho ya sikukuu ya Ufufuo Mtukufu wa Kristo, katika kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko, paroko wa kanisa hilo Kasisi Mkuu Andrei Novikov aliendesha ibada ya Alfajiri ya Pasaka na ... Jinsi ya kuoka prosphoras kulingana na mila ya kanisa la Orthodoxi la Urusi Mtawa Matrona (Jepchirchir) kutoka Kenya, Aliyetawaswa Kwa mtindo na Askofu mkuu, metropoliti Leonid wa Klin kuwa katika mpango Ndogo, mnamo tarehe 4 Yanuari 2023, anashiriki kichocheo cha prosphoras kulingana na mila ya Kanisa la Orthodox la Urusi. Mazoezi ya kiliturgia ya wahamiaji kutoka Afrika katika kanisa la Mtakatifu Nikolas kule Novaya Sloboda Katika kanisa la Mtakatifu Nikolas Mtenda-miujiza kule Novaya Sloboda, wanafunzi wa kozi za ukasisi hufanya mazoezi kila siku. Metropolitani Leonid: Tumewaokoa Waothodoksi wa Afrika kutoka kwenye uhalifu wa kikanuni Mnamo Novemba 24, 2022, Metropolitani wa Klin Leonid, Askofu Mkuu wa Kipatriarki wa Afrika, alifanya mahojiano na kituo cha televisheni cha "Russia-24. Darasa la lugha ya Kirusi katika shule nchini Kameruni Katika nchi nyingi za bara la Afrika, kunashuhudiwa ongezeko kubwa la shauku ya watu katika kujifunza lugha ya Kirusi. “Kanisa la Urusi lilituokoa kutoka kwenye dhambi kubwa ya mafarakano” Sehemu ya 2 Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika wanaeleza juu ya sababu za kutengana na Kanisa la Aleksandria.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki