Архивы Albamu za picha - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Albamu za picha

Vitabu vya maombi, katika lugha ya Kimalagasi, vyachapishwa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaendelea kufanya kazi ya kutafsiri fasihi ya kidini katika lugha za Kiafrika. Wakazi 14 wa Kaunti ya Nandi (Kenya) wabatizwa Sakramenti hiyo iliendeshwa na mkuu wa Dekania ya Nandi, Padri Tito Kipnjen. Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki washiriki ibada ya Pasaka katika Kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko Usiku wa Aprili 15-16, 2023, katika maadhimisho ya sikukuu ya Ufufuo Mtukufu wa Kristo, katika kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko, paroko wa kanisa hilo Kasisi Mkuu Andrei Novikov aliendesha ibada ya Alfajiri ya Pasaka na ... Mwenyekiti wa Idara ya Misioni atembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania) Jioni ya Aprili 13, 2023, usiku wa kuamkia Ijumaa Kuu ya Wiki Takatifu, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alitembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania). Mazoezi ya Liturgia ya Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yanaendelea Padri Sergii Voemava na wanafunzi wa kozi ya ufundishaji walishiriki katika huduma takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Nicholas kule Novaya Sloboda jijini Mosko,  kwa Kifaransa. Esarkia ya Kipatriaki inaendelea kuimarisha mwelekeo wa Misioni katika Elimu  Kazi inaendelea katika mojawapo ya maeneo ya kipaumbele zaidi kwa misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika - elimu. Mafunzo ya kawaida ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yaanza Safari hii, masomo na mazoezi ya liturgia yataendeshwa kwa lugha ya Kifaransa. Ziara ya kikundi cha wamisionari chini ya uongozi wa Padri Georgi Maksimov inaendelea Kule Kigali, mji mkuu wa Rwanda, Padri Georgi na mmisionari A.V. Lyulka walikutana na jamii ya Esarkia, ikiongozwa na Msomaji Stefan. Watu 20 wapata Ubatizo Mtakatifu katika parokia ya Mtakatifu Yohana Zlatoust mjini Nyamata (Rwanda) Baadaye, Padri Georgi Maksimov alikutana na Balozi wa Urusi nchini Rwanda, K.D. Chalyan. Mwenyekiti  wa  Idara  ya  Misioni  ya  Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, azuru Kamerun Tarehe 12 Februari 2023, katika Wiki ya Mwana Mpotevu, siku ya kumbukizi ya walimu wa kiekumeni na watakatifu Basil Mkuu, Gregori Mtheolojia na Yohana Zlatousti, iliadhimishwa Liturgia ya upatanisho katika kanisa la Ufufuo wa Kristo ...
patriarchia.ru
Official website of the MP
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki