Архивы Nyaraka - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Nyaraka

Salamu za Pasaka za Patriarki Kirill kwa Makasisi Wakuu, Makasisi, Mashemasi, Watawa na Waumini wote  wa Kanisa la Kiothodoksi  la Urusi Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Mtakatifu Kirill alituma salamu za Pasaka kwa makasisii wakuu, makasisi, mashemasi, watawa na waumini wote wa Kanisa la Kiiothodoksi la Urusi. Sinodi Takatifu yatambua azimio la “kushushwa cheo” kwa Metropolitani wa Klin Leonid kuwa halina nguvu ya kikanuni Katika mkutano wa Sinodi Takatifu ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi, uliofanyika Desemba 29 , washiriki walijadili azimio la Sinodi ya Patriarkia ya Aleksandria kuhusu "kushushwa cheo" kwa Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid. Ujumbe wa Krismasi wa Patriarka Kirill wa Mosko na Urusi Yote Ujumbe wa Krismasi wa Patriarka Kirill wa Mosko na Urusi Yote kwa wachungaji-wakuu, wachungaji, mashemasi, watawa na waumini wote wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi. UJUMBE WA KRISMASI Wa Mtukufu LEONID, Metropolitani wa Klin, Askofu Mkuu wa Africa UJUMBE WA KRISMASI Wa Mtukufu LEONID, Metropolitani wa Klin, Askofu Mkuu wa Africa, kwa makasisi, watawa na walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Africa na Dayosisi ya Yerevan-Armenia ya Kanisa la Othodoksi la Urusi. Pongezi za Metropolitani wa Klin Leonid katika kuadhimisha miaka 90 ya Kanisa la Ufufuo wa Kristo kule Rabat. Metropolitani Leonid alimpongeza Kasisi Mkuu Maksim Massalitin, mkuu wa Kanisa la Ufufuo wa Kristo kule Rabat, pamoja na waumini wa parokia, katika kuadhimisha miaka 90 ya kuwekwa wakfu kwa kanisa hilo. SALAMU ZA MWADHAMA LEONID, METROPOLITANI WA KLIN, ASKOFU MKUU WA AFRICA, KATIKA HAFLA YA KUZINDUA TOVUTI YA ESARKIA Wapendwa! Azimio la kihistoria la Sinodi Takatifu ya Kanisa la Othodoksi la Urusi, la tarehe 29 Desemba, 2021, juu ya uundaji wa Esarkia ya Kipatriarki ya Africa, lilitoa msukumo mkubwa wa kuthibitisha Uorthodoksi katika bara la Afrika. Katika ...
patriarchia.ru
Official website of the MP
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki