Архивы Habari - Page 2 of 6 - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Habari

Mtakatifu Patriarki Kirill atembelea Stendi ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrikka kwenye Mkutano wa kilele wa Urusi-Afrika Mnamo Julai 27, 2023, Mtakatifu Patriarki Kirill wa Mosko na Urusi Yote alishiriki katika Mkutano wa kilele wa Pili wa Urusi—Afrika, uliofanyika St. Petersburg. Mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki na Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki wasainiwa Mnamo Julai 27, 2023, kule St. Petersburg, pembezoni mwa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi – Afrika, kulisainiwa  mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na taasisi ya ANO “Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki”. V.V. Putin: Kituo cha Urusi cha Elimu ya Kiroho kufunguliwa nchini Uganda Uganda é um dos principais parceiros da Rússia na África, disse o presidente russo, Vladimir Putin, em uma reunião com o líder de Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, em São Petersburgo. Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki katika Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi Mnamo Julai 19, 2023, Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi ulifanyika katika Monasteri ya Utatu Mtakatifu ya Sergius, chini ya uenyekiti wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill. Wakenya sita walibatizwa katika parokia ya Mtakatifu Vladimir huko Vihiga Kenya Tarehe 25 Juni, katika Wiki ya 3 baada ya Pentekoste, Padre Kiriak Kipchumba aliadhimisha Ibada ya Misa takatifu katika parokia ya Mtakatifu Prince Vladimir Sawa-kwa-Mitume katika kijiji cha Serzhem wilaya ya Vihiga nchini Kenya. Ng’ombe anunuliwa kwa ajili ya watoto nchini Kenya kwa michango kutoka kwa waumini Kwa michango ya waumini, ng’ombe alinunuliwa kwa ajili ya Kituo cha watoto yatima cha Mtakatifu Athanasius nchini Kenya (kijiji cha Nyabigege, wilayani Kisii). Idadi ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaongezeka Mnamotarehe 25 Juni, katika Wiki ya 3 ya Pentekoste, mapadre Pavel Matov na Thomas Sebiranda, waliojiunga na Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, waliungana na Padri Pavel Bulek katika parokia hiyo kwa heshima ya Mtakatifu Prince Vladimir ... Safari ya Mwenyekiti wa Idara ya Wamishonari ya Esarkia kwenda Angola imekamilika Safari ya mwenyekiti wa Idara ya Kimisionari ya Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi kutoka Esarkia ya  Africa, Padri George Maximov, kwenda Angola imekamilika. Liturujia ya kwanza yaadhimishwa katika mji wa Emevor nchini Nigeria Tarehe 25 Juni, Wiki ya 3 baada ya Pentekoste, Ibada ya kwanza ya Misa takatifu kwa waumini wa jumuiya ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika ilifanyika katika Kanisa la Mtakatifu Andrea wa Kwanza huko Emevor, Nigeria (katika jimbo la Delta). Leonid Metropolitan wa Klin: “Tuna matarajio mazuri sana” Katika ukurasa wake ya telegramu, Askofu Mkuu Leonid Metropolitani wa Klin alizungumza juu ya dhamira ya Kanisa la Kiothodoksi ya Urusi barani Afrika.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki