Kwaya ya watoto yaundwa katika parokia ya Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Kwaya ya watoto yaundwa katika parokia ya Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni

Katika kanisa la Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni(Afrika Kusini), kumeanzishwa mafundisho  ya kwaya ya watoto. Kikundi hicho kinajumuisha watoto wenye umri kuanzia miaka 7, na mafundisho yanafanywa na regent Vasili.

Katika video wanafunzi wanafanya mazoezi ya igizo la “Mfalme wa Mbinguni” kwa lughya ya Kiingereza.

Pia, mafundisho juu ya kanisa yameanza – watoto wanasoma sala za shukrani kwa ajili ya Ushirika Mtakatifu mwishoni mwa Liturgia.

Askofu Mkuu wa Esarkia ya Afrika

 

Shirikisha katika mitandao ya kijamii:

Taarifa zote zilizo na maneno muhimu

- -