Архивы Habari - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ

Habari

Mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu yatolewa katika parokia mbili za Esarkia nchini Kenya Mihadhara hiyo inatolewa na mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka. Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika imepata cheti cha usajili nchini Tanzania Hii ni nchi ya tano katika bara la Afrika ambako Esarkia ya Kipatriarki imeimarisha kisheria uwepo wake. Katika Sikukuu ya Tohara ya Bwana, Liturgia Takatifu iliadhimishwa mjini Bujumbura (Burundi) Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, azuru Jamhuri ya Burundi. Ziara ya Metropolitani wa Klin Leonid nchini Moroko imehitimishwa Metropolitani Leonid alitembelea kanisa la Kupalishwa kwa Mtakatifu Bikira Maria mjini Kasablanka. Metropolitani wa Klin Leonid alihudhuria tamasha la muziki wa Kirusi katika mji mkuu wa Moroko Askofu Mkuu wa Kipatriarki aliwasili Moroko ili kushiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 90 ya Kanisa la Ufufuo wa Kristo kule Rabat - kanisa kongwe zaidi la Urusi barani Afrika. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Esarkia ya Afrika, Metropolitani Leonid alifanya upadrisho wa kikasisi na wa kishemasi Shemasi Herman Edianga kutoka Uganda alitawazwa kuwa kasisi, Sergius Voemava kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati alitawazwa kuwa shemasi. Mkutano wa Makasisi Wakuu nchini Kenya Kasisi Georgi Maksimov alikabidhi antiminsi kwa makasisi waliojiunga na Kanisa la Kiothodoksi la Urusi. “Kanisa la Urusi lilituokoa kutoka kwenye dhambi kubwa ya mafarakano” Sehemu ya 2 Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika wanaeleza juu ya sababu za kutengana na Kanisa la Aleksandria.
patriarchia.ru
Official website of the MP
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki