29 Julai 2025 17:16
Askofu Mkuu Konstantine, Patriarko Eksarka wa Afrika, amepewa jina la cheo cha Jimbo la Cairo na Kaskazini mwa Afrika”
Mnamo Julai 24, 2025, kufuatia mkutano mkuu wa Sinodi Takatifu ya Kanisa la Orthodox la Urusi uliofanyika Moscow.
25 Machi 2024 15:45
Askofu Konstantin wa Zaraisk alipandishwa cheo hadi cheo cha Mkuu wa mji
Mnamo Machi 24, Jumapili ya 1 ya Lent Mkuu, Ushindi wa Orthodoxy, Patriaki wake Mtakatifu Kirill wa Moscow na All Rus' waliadhimisha Liturujia ya Kimungu ya Mtakatifu Basil Mkuu na ibada ya Ushindi wa Orthodoxy katika Kanisa Kuu. ya ...
13 Machi 2024 16:16
Video kuhusu safari ya mkuu wa Patriaka Exarchate ya Africa, Askofu Konstantin, kuzuru Tanzania
Ziara ya Askofu Konstantine, Exarch wa Afrika, Nchini Tanzania.
26 Oktoba 2023 20:48
Kaimu Askofu Mkuu wa Afrika ateuliwa
Mnamo Oktoba 11, 2023, mjini Mosko, kulifanyika kikao cha Sinodi Takatifu ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi.
05 Oktoba 2023 15:06
Metropolitani wa Klin Leonid afanya mkutano na wawakilishi wa “NGO” “Kurugenzi ya Tamasha la Kimataifa la Vijana”
Mnamo Oktoba 2, 2023, mjini Mosko, Askofu Mkuu wa Afrika- Metropolitani wa Klin Leonid alikutana na wawakilishi wa “NGO” (Kurugenzi ya Tamasha la Kimataifa la Vijana) – Alina Mamayeva na Ivan Gusakov. Mnamo Machi 2024, kufuatia agizo ...
03 Oktoba 2023 13:36
Tamasha la “Afrika ya Kiothodoksi” lafanyikaиnchini Tanzania
Mnamo Septemba 22, Ofisi ya Jumba la Urusi mjini Dar es Salaam, Tanzania, iliendesha tamasha la uelimishaji wa kiroho - "Afrika ya Kiothodoksi".
29 Septemba 2023 20:28
Metropolitani wa Klin Leonid akutana na kiongozi wa Kanisa lisilo rasmi la Kameruni
Mnamo Septemba 25, katika viwanja vya Kanisa la Watakatifu Wote pale Kulishki, Mosko, Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid, alikutana na Daudi Kwin, "askofu" wa kanisa lisilo rasmi la Kameruni.
01 Septemba 2023 20:59
Mtakatifu Patriarki Kirill alimtunuku Metropolitani wa Klin Leonid Nishani ya Mtakatifu Innosenti wa Mosko
Mnamo Julai 18, 2023, kwenye sikukuu ya kupatikana kwa nguvu za uadilifu za Mtakatifu Sergius, Abati wa Radonezh, katika kuhitimisha Liturgia Takatifu, katika Uwanja wa Kanisa Kuu la Utatu Mtakatifu la monasteri ya Sergius, katika ukumbi wa ...
25 Agosti 2023 18:20
Monasteri ya kwanza, ya wanawake, ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi, inatarajiwa kufunguliwa nchini Kenya
Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid, alisema kuwa mtawa Matrona (Dzhepchirchir), baada ya kukamilisha mazoezi ya utawa kule Mosko, ataweza kuwa abbessi na kuongoza nyumba ya watawa nchini Kenya, katika siku zijazo hivi karibuni.
22 Agosti 2023 14:10
Katika Wiki ya 10 ya Pentekoste, Metropolitani wa Klin Leonid aliadhimisha Liturgia Takatifu katika kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki
Mnamo Agosti 13, Wiki ya 10 baada ya Pentekoste, siku ya kumbukumbu ya Shahidi Mtakatifu Benjamin, Metropolitani wa Petrograd na Gdov, Askofu Mkuu wa Afrika Metropolitani wa Klin Leonid, aliadhimisha Liturgia Takatifu katika kanisa la Watakatifu ...
11 Agosti 2023 11:55
Mkutano wafanyika kujadili swala la utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa nchi za Afrika
Mnamo tarehe 1 Agosti 2023, katika Kituo cha Jumuiya ya Kiothodoksi ya Wapalestina (IPPO) jijini Mosko, chini ya uenyekiti wa Sergei Stepashin, kulifanyika mkutano kuhusu utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa nchi za Afrika.
04 Agosti 2023 20:35
Makubaliano ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki, Kamishna wa Haki za Watoto na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto”, yasainiwa
Mnamo Julai 27, makubaliano ya pande tatu juu ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Kamishna wa Haki za Watoto – katika ofisi ya Rais wa Shirikisho la Urusi na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto” yalisainiwa kule St. ...
02 Agosti 2023 20:43
Mtakatifu Patriarki Kirill atembelea Stendi ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrikka kwenye Mkutano wa kilele wa Urusi-Afrika
Mnamo Julai 27, 2023, Mtakatifu Patriarki Kirill wa Mosko na Urusi Yote alishiriki katika Mkutano wa kilele wa Pili wa Urusi—Afrika, uliofanyika St. Petersburg.
01 Agosti 2023 20:33
Mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki na Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki wasainiwa
Mnamo Julai 27, 2023, kule St. Petersburg, pembezoni mwa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi – Afrika, kulisainiwa mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na taasisi ya ANO “Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki”.
22 Julai 2023 21:24
Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki katika Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi
Mnamo Julai 19, 2023, Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi ulifanyika katika Monasteri ya Utatu Mtakatifu ya Sergius, chini ya uenyekiti wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill.