04 Agosti 2023 20:35
Makubaliano ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki, Kamishna wa Haki za Watoto na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto”, yasainiwa
Mnamo Julai 27, makubaliano ya pande tatu juu ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Kamishna wa Haki za Watoto – katika ofisi ya Rais wa Shirikisho la Urusi na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto” yalisainiwa kule St. ...
28 Julai 2023 20:38
V.V. Putin: Kituo cha Urusi cha Elimu ya Kiroho kufunguliwa nchini Uganda
Uganda é um dos principais parceiros da Rússia na África, disse o presidente russo, Vladimir Putin, em uma reunião com o líder de Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, em São Petersburgo.
11 Mei 2023 19:27
Balozi wa Benin nchini Urusi akutana na kasisi wa Esarkia ya Afrika
Mnamo tarehe 10 Mei, 2023, Balozi wa Jamhuri ya Benin katika Shirikisho la Urusi, Mh. Akambi Andre Okunlola-Biau, alikutana na kasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Parfeni Dansu, mjini Mosko.
15 Febuari 2023 14:10
Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yapata cheti cha usajili wa kiserikali nchini Kenya
Hii ni nchi ya sita barani Afrika ambako Esarkia ya Kipatriarki imethibitisha uwepo wake kisheria.
09 Febuari 2023 21:06
Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia akutana na Mkuu wa Kitengo cha Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa cha Rossotrudnichestvo
Mnamo tarehe 6 Februari, 2023, mjini Mosko, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alikutana na Mkuu wa Kitengo cha Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa cha Rossotrudnichestvo A.V. Sicheva.
23 Januari 2023 20:34
Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika imepata cheti cha usajili nchini Tanzania
Hii ni nchi ya tano katika bara la Afrika ambako Esarkia ya Kipatriarki imeimarisha kisheria uwepo wake.