Архивы Habari - Page 5 of 7 - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Habari

Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki washiriki ibada ya Pasaka katika Kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko Usiku wa Aprili 15-16, 2023, katika maadhimisho ya sikukuu ya Ufufuo Mtukufu wa Kristo, katika kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko, paroko wa kanisa hilo Kasisi Mkuu Andrei Novikov aliendesha ibada ya Alfajiri ya Pasaka na ... Mwenyekiti wa Idara ya Misioni atembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania) Jioni ya Aprili 13, 2023, usiku wa kuamkia Ijumaa Kuu ya Wiki Takatifu, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alitembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania). Mazoezi ya Liturgia ya Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yanaendelea Padri Sergii Voemava na wanafunzi wa kozi ya ufundishaji walishiriki katika huduma takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Nicholas kule Novaya Sloboda jijini Mosko,  kwa Kifaransa. Esarkia ya Kipatriaki inaendelea kuimarisha mwelekeo wa Misioni katika Elimu  Kazi inaendelea katika mojawapo ya maeneo ya kipaumbele zaidi kwa misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika - elimu. “Redio Sputnik” yatangaza Taarifa kuhusu Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika Mnamo Machi 18, 2023, “Redio Sputnik” ilitangaza taarifa ndefu kuhusu Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika "Afrika. Kurejea". Sinodi  Takatifu  yasisitiza  umuhimu  wa  miradi  ya  pamoja  ya Kanisa la Kiothodoksi  la Urusi  na Kanisa  la  Ethiopia Mnamo Machi 16, 2023, katika mkutano wa Sinodi Takatifu, Metropolitani wa Volokolamsk Antoni, Mwenyekiti wa Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Taasisi za Nje, aliwasilisha ripoti ya mkutano wa pili wa Tume ya Mazungumzo ya Pande Mbili, kati ya ... Mafunzo ya kawaida ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yaanza Safari hii, masomo na mazoezi ya liturgia yataendeshwa kwa lugha ya Kifaransa. Ziara ya kikundi cha wamisionari chini ya uongozi wa Padri Georgi Maksimov inaendelea Kule Kigali, mji mkuu wa Rwanda, Padri Georgi na mmisionari A.V. Lyulka walikutana na jamii ya Esarkia, ikiongozwa na Msomaji Stefan. Mafunzo ya kawaida kwa makasisi na walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yakamilika Mmisionari A.V. Lyulka alitoa mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu katika majimbo yote tisa ya Kenya, mkazo maalum ukiwekwa katika masuala ya eklezia na skismolojia, sakramenti za Ubatizo na Toba katika maisha ya mkristo. Watu 20 wapata Ubatizo Mtakatifu katika parokia ya Mtakatifu Yohana Zlatoust mjini Nyamata (Rwanda) Baadaye, Padri Georgi Maksimov alikutana na Balozi wa Urusi nchini Rwanda, K.D. Chalyan.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki