“Redio Sputnik” yatangaza Taarifa kuhusu Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

“Redio Sputnik” yatangaza Taarifa kuhusu Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika

Mnamo Machi 18, 2023, “Redio Sputnik” ilitangaza taarifa ndefu kuhusu Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika AfrikaKurejea“.

Walioshiriki katika kuandaa taarifa hiyo niAskofu Mkuu wa Afrika Metropolitani wa Klin Leonid, Paroko Andrei NovikovDekani wa parokia za Esarkia nchini Nigeria-Kasisi Mkuu  Nifont (Ule), Mwenyekiti wa Idara ya Misioni Padri Georgi Maksimov, Padri Georgi Chabvera (Malawi),Mtawa Matrona Jepchirchir (Kenya).

Rekodi ya tangazo hilo inapatikana kwenye tovuti ya Redio Sputnik”, kwa kiunganishi.

Waandaaji wa taarifa hiyo wameeleza kuhusu hali ya Wakristo wa Kiothodoksi barani Afrika ilivyokuwa, na jinsi maisha yao yalivyobadilika kufuatia ujio wa misioni ya Esarkia, kwa nini barabara kuu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ilipewa jina Urusi”, na jinsi Waafrika wanavyomuunga mkono Rais Vladimir Putin.

Shirikisha katika mitandao ya kijamii: