Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia akutana na Mkuu wa Kitengo  cha  Misaada  ya Maendeleo  ya  Kimataifa  cha Rossotrudnichestvo - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia akutana na Mkuu wa Kitengo  cha  Misaada  ya Maendeleo  ya  Kimataifa  cha Rossotrudnichestvo

Mnamo tarehe 6 Februari, 2023, mjini Mosko, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki  ya  Afrika, Padri Georgi Maksimov, alikutana na Mkuu wa Kitengo  cha  Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa  cha Rossotrudnichestvo A.V. Sicheva.

Katika mazungumzo yao,  walijadili masuala ya ushirikiano katika bara la Afrika.

Hivi sasa, miradi ya pamoja inatekelezwa kwa mafanikio makubwa katika nchi kadhaa, na kazi inaendelea katika maeneo-husika.

Shirikisha katika mitandao ya kijamii: