Metropolitani wa Klin Leonid afanya mkutano na wawakilishi wa “NGO” "Kurugenzi ya Tamasha la Kimataifa la Vijana" - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Metropolitani wa Klin Leonid afanya mkutano na wawakilishi wa “NGO” “Kurugenzi ya Tamasha la Kimataifa la Vijana”

Mnamo Oktoba 2, 2023, mjini Mosko, Askofu Mkuu wa Afrika- Metropolitani wa Klin Leonid alikutana na wawakilishi wa “NGO” (Kurugenzi ya Tamasha la Kimataifa la Vijana) – Alina Mamayeva na Ivan Gusakov.

Mnamo Machi 2024, kufuatia agizo la Rais wa Urusi V.V. Putin, kutafanyika Tamasha la Kimataifa la Vijana mjini Sochi.

“Kuna nafasi zimetengwa kwa ajili ya ushiriki wa vijana wa Kiafrika. Ni mradi mkubwa  na wa maana sana. Tulijadili, kwa kina, maeneo ya ushirikiano  tunaotarajia,” Metropolitani Leonid aliandika katika ukurasa wake wa “telegram”.

Askofu Mkuu wa Esarkia ya Afrika

Shirikisha katika mitandao ya kijamii:

Taarifa zote zilizo na maneno muhimu