11 Agosti 2023 20:39
Kambi ya vijana yaanzishwa kwa ajili ya watoto wa waumini wa Esarkia ya Kipatriarki katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Wiki iliyopita, waumini vijana wa Kanisa la Mtakatifu Andrea mjini Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, walikwenda kwenye kambi ya vijana ya majira ya kiangazi.
11 Agosti 2023 11:55
Mkutano wafanyika kujadili swala la utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa nchi za Afrika
Mnamo tarehe 1 Agosti 2023, katika Kituo cha Jumuiya ya Kiothodoksi ya Wapalestina (IPPO) jijini Mosko, chini ya uenyekiti wa Sergei Stepashin, kulifanyika mkutano kuhusu utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa nchi za Afrika.
04 Agosti 2023 20:35
Makubaliano ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki, Kamishna wa Haki za Watoto na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto”, yasainiwa
Mnamo Julai 27, makubaliano ya pande tatu juu ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Kamishna wa Haki za Watoto – katika ofisi ya Rais wa Shirikisho la Urusi na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto” yalisainiwa kule St. ...
01 Agosti 2023 20:33
Mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki na Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki wasainiwa
Mnamo Julai 27, 2023, kule St. Petersburg, pembezoni mwa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi – Afrika, kulisainiwa mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na taasisi ya ANO “Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki”.
01 Julai 2023 15:22
Ng’ombe anunuliwa kwa ajili ya watoto nchini Kenya kwa michango kutoka kwa waumini
Kwa michango ya waumini, ng’ombe alinunuliwa kwa ajili ya Kituo cha watoto yatima cha Mtakatifu Athanasius nchini Kenya (kijiji cha Nyabigege, wilayani Kisii).
09 Febuari 2023 21:06
Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia akutana na Mkuu wa Kitengo cha Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa cha Rossotrudnichestvo
Mnamo tarehe 6 Februari, 2023, mjini Mosko, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alikutana na Mkuu wa Kitengo cha Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa cha Rossotrudnichestvo A.V. Sicheva.