Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya jamii ya watu wasio waumini nchini Gabon, kujiunga na Kanisa la Urusi - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya jamii ya watu wasio waumini nchini Gabon, kujiunga na Kanisa la Urusi

Kwa ajili ya jambo hili, mmisionari A.V. Lyulka aliizuru  Gabon na kufanya mihadhara ya katekisti katika parokia zote nne za jamii hiyo – kule Librevilli, Ntum na katika kijiji cha Abing Assi.

“Waumini walisikiliza mihadhara kwa shauku kubwa, wakaelewa tofauti kati ya  Uothodoksi, Ukatoliki na Uprotestanti, waliuliza maswali, wakaomba kupatiwa vitabu – inafurahisha kushuhudia shauku kama hiyo ya kujifunza imani. Pamoja na mihadhara hiyo, Aleksanda Vyacheslavovich aliendesha warsha juu ya kusoma na kuimba kwa utaratibu  wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi,” Metropolitani wa Klin Leonid alisema katika ukurasa wake  wa “telegram”.

Shirikisha katika mitandao ya kijamii:

Taarifa zote zilizo na maneno muhimu