Архивы Habari - Page 6 of 7 - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Habari

Ujumbe wa Kanisa la Ethiopia wazuru Urusi Mnamo Februari 11, 2023, kwa mwaliko wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill, na kwa baraka za Mtakatifu Patriarki-Katholikos wa Ethiopia Abuna Matayo, wajumbe wa Kanisa la Ethiopia waliwasili Mosko ili kushiriki katika kikao cha ... Esarkia ya Kipatriarki inaendelea kutekeleza miradi ya elimu katika nchi za Afrika Mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka alifanya mihadhara katika vituo vya watoto yatima vya Mtume Petro katika kijiji cha Gesonso na Askofu Mkuu Atanasius katika kijiji cha Nyabigega (wilaya ya Kisii, Kenya). Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia akutana na Mkuu wa Kitengo  cha  Misaada  ya Maendeleo  ya  Kimataifa  cha Rossotrudnichestvo Mnamo tarehe 6 Februari, 2023, mjini Mosko, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki  ya  Afrika, Padri Georgi Maksimov, alikutana na Mkuu wa Kitengo  cha  Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa  cha Rossotrudnichestvo A.V. Sicheva. Katika Wiki ya 33 ya Pentekoste, kulifanyika ibada katika Kituo cha Sayansi na Utamaduni cha Urusi nchini Tanzania. Liturgia Takatifu iliendeshwa na Baba Paroko Filaret (Kimaro) na Padri Konstantin Shoki. Metropolitani Varsonofi akutana na wanafunzi wa SPbDA kutoka Afrika na Kusini-mashariki mwa Asia. Kikundi cha wanafunzi kiliambatana na mkuu wa Chuo, Askofu Siluan wa Peterhof. Mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu yatolewa katika parokia mbili za Esarkia nchini Kenya Mihadhara hiyo inatolewa na mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka. Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika imepata cheti cha usajili nchini Tanzania Hii ni nchi ya tano katika bara la Afrika ambako Esarkia ya Kipatriarki imeimarisha kisheria uwepo wake. Katika Sikukuu ya Tohara ya Bwana, Liturgia Takatifu iliadhimishwa mjini Bujumbura (Burundi) Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, azuru Jamhuri ya Burundi. Ziara ya Metropolitani wa Klin Leonid nchini Moroko imehitimishwa Metropolitani Leonid alitembelea kanisa la Kupalishwa kwa Mtakatifu Bikira Maria mjini Kasablanka. Metropolitani wa Klin Leonid alihudhuria tamasha la muziki wa Kirusi katika mji mkuu wa Moroko Askofu Mkuu wa Kipatriarki aliwasili Moroko ili kushiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 90 ya Kanisa la Ufufuo wa Kristo kule Rabat - kanisa kongwe zaidi la Urusi barani Afrika.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki