11 Agosti 2023 20:42
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya jamii ya watu wasio waumini nchini Gabon, kujiunga na Kanisa la Urusi
Kwa ajili ya jambo hili, mmisionari A.V. Lyulka aliizuru Gabon na kufanya mihadhara ya katekisti katika parokia zote nne za jamii hiyo – kule Librevilli, Ntum na katika kijiji cha Abing Assi. “Waumini walisikiliza mihadhara kwa ...
11 Agosti 2023 20:39
Kambi ya vijana yaanzishwa kwa ajili ya watoto wa waumini wa Esarkia ya Kipatriarki katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Wiki iliyopita, waumini vijana wa Kanisa la Mtakatifu Andrea mjini Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, walikwenda kwenye kambi ya vijana ya majira ya kiangazi.
11 Agosti 2023 11:55
Mkutano wafanyika kujadili swala la utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa nchi za Afrika
Mnamo tarehe 1 Agosti 2023, katika Kituo cha Jumuiya ya Kiothodoksi ya Wapalestina (IPPO) jijini Mosko, chini ya uenyekiti wa Sergei Stepashin, kulifanyika mkutano kuhusu utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa nchi za Afrika.
04 Agosti 2023 20:35
Makubaliano ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki, Kamishna wa Haki za Watoto na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto”, yasainiwa
Mnamo Julai 27, makubaliano ya pande tatu juu ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Kamishna wa Haki za Watoto – katika ofisi ya Rais wa Shirikisho la Urusi na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto” yalisainiwa kule St. ...
02 Agosti 2023 20:43
Mtakatifu Patriarki Kirill atembelea Stendi ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrikka kwenye Mkutano wa kilele wa Urusi-Afrika
Mnamo Julai 27, 2023, Mtakatifu Patriarki Kirill wa Mosko na Urusi Yote alishiriki katika Mkutano wa kilele wa Pili wa Urusi—Afrika, uliofanyika St. Petersburg.
01 Agosti 2023 20:33
Mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki na Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki wasainiwa
Mnamo Julai 27, 2023, kule St. Petersburg, pembezoni mwa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi – Afrika, kulisainiwa mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na taasisi ya ANO “Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki”.
28 Julai 2023 20:38
V.V. Putin: Kituo cha Urusi cha Elimu ya Kiroho kufunguliwa nchini Uganda
Uganda é um dos principais parceiros da Rússia na África, disse o presidente russo, Vladimir Putin, em uma reunião com o líder de Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, em São Petersburgo.
22 Julai 2023 21:24
Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki katika Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi
Mnamo Julai 19, 2023, Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi ulifanyika katika Monasteri ya Utatu Mtakatifu ya Sergius, chini ya uenyekiti wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill.
01 Julai 2023 15:24
Wakenya sita walibatizwa katika parokia ya Mtakatifu Vladimir huko Vihiga Kenya
Tarehe 25 Juni, katika Wiki ya 3 baada ya Pentekoste, Padre Kiriak Kipchumba aliadhimisha Ibada ya Misa takatifu katika parokia ya Mtakatifu Prince Vladimir Sawa-kwa-Mitume katika kijiji cha Serzhem wilaya ya Vihiga nchini Kenya.
01 Julai 2023 15:22
Ng’ombe anunuliwa kwa ajili ya watoto nchini Kenya kwa michango kutoka kwa waumini
Kwa michango ya waumini, ng’ombe alinunuliwa kwa ajili ya Kituo cha watoto yatima cha Mtakatifu Athanasius nchini Kenya (kijiji cha Nyabigege, wilayani Kisii).
01 Julai 2023 15:20
Idadi ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaongezeka
Mnamotarehe 25 Juni, katika Wiki ya 3 ya Pentekoste, mapadre Pavel Matov na Thomas Sebiranda, waliojiunga na Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, waliungana na Padri Pavel Bulek katika parokia hiyo kwa heshima ya Mtakatifu Prince Vladimir ...
01 Julai 2023 15:17
Safari ya Mwenyekiti wa Idara ya Wamishonari ya Esarkia kwenda Angola imekamilika
Safari ya mwenyekiti wa Idara ya Kimisionari ya Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi kutoka Esarkia ya Africa, Padri George Maximov, kwenda Angola imekamilika.
01 Julai 2023 15:04
Liturujia ya kwanza yaadhimishwa katika mji wa Emevor nchini Nigeria
Tarehe 25 Juni, Wiki ya 3 baada ya Pentekoste, Ibada ya kwanza ya Misa takatifu kwa waumini wa jumuiya ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika ilifanyika katika Kanisa la Mtakatifu Andrea wa Kwanza huko Emevor, Nigeria (katika jimbo la Delta).
22 Juni 2023 22:20
Leonid Metropolitan wa Klin: “Tuna matarajio mazuri sana”
Katika ukurasa wake ya telegramu, Askofu Mkuu Leonid Metropolitani wa Klin alizungumza juu ya dhamira ya Kanisa la Kiothodoksi ya Urusi barani Afrika.
17 Juni 2023 16:02
Patriarki Mtakatifu Kirill ampongeza Askofu mkuu Leonid wa Klin kwenye kumbukumbu ya miaka 10 ya kuwekwa wakfu kwake
Patriarki Mtakatifu Kirill wa Moscow na Urusi yote amempongeza Askofu mkuu wa Africa Metropolitani Leonid wa Klin kwenye kumbukumbu ya miaka 10 ya kuwekwa wakfu kwake kuwa Askofu.