Mkutano wa kwanza wa undugu wa Kiothodoksi wa Mtakatifu Musa Murin wafanyika katika parokia ya Mtakatifu Nyektarius nchini Kenya - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Mkutano wa kwanza wa undugu wa Kiothodoksi wa Mtakatifu Musa Murin wafanyika katika parokia ya Mtakatifu Nyektarius nchini Kenya

Mkutano wa kwanza wa undugu wa Kiothodoksi, kwa heshima ya Mtakatifu Musa Murin, ulifanyika katika parokia ya Mtakatifu Nyektarius nchini Kenya (dekania ya Vihiga).

“Kwa namna hii, wanaparokia wa kiume wanahusishwa zaidi katika mambo ya Kanisa, wanashikamana na wanaongeza ufahamu wao juu ya imani,” Askofu Mkuu wa Afrika Metropolitani wa Klin Leonid alibainisha katika ukurasa  wake wa “telegram.”

“Ninamshukuru Padri Nyikanor Shilesi na makasisi wa dekania: Mapadri Atanasius Amidiva na  Yohana Mutsotso, kwa maandalizi mazuri na uendeshaji mwema  wa mkutano,” –askofu alitoa shukrani.

Askofu Mkuu wa Esarkia ya Afrika

 

Shirikisha katika mitandao ya kijamii:

Taarifa zote zilizo na maneno muhimu