Kaimu Askofu Mkuu wa Afrika ateuliwa - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Kaimu Askofu Mkuu wa Afrika ateuliwa

Mnamo Oktoba 11, 2023, mjini Mosko, kulifanyika kikao cha Sinodi Takatifu ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi.

Wajumbe wa Sinodi walijadili kwa kina hali ya mambo katika Esarkia ya Afrika (Jarida Na. 93).

Sinodi iliamua kumpunguzia Metropolitani wa Klin Leonid majukumu ya Uaskofu Mkuu wa Afrika, ikamshukuru sana kwa utumishi mwema na ikampa aendelee kuiongoza Dayosisi ya Yerevan -Armenia kwa muda.

Askofu Konstantin wa Zaraisk  aliteuliwa kuwa Kaimu Askofu Mkuu wa Afrika.

Askofu Mkuu wa Esarkia ya Afrika

Shirikisha katika mitandao ya kijamii: