Архивы Habari - Page 2 of 5 - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Askofu Mkuu

Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki Ibada Takatifu ya Patriarkia katika siku ya Radonitsa Mnamo Aprili 25, Jumanne ya wiki ya pili baada ya Pasaka, Siku ya Radonitsa, Patriarki Mtakatifu Kirill aliadhimisha Liturgia Takatifu na kumbukizi ya Pasaka ya marehemu wote, katika kanisa la Malaika Mkuu lililoko Kremlin mjini Mosko. “Redio Sputnik” yatangaza Taarifa kuhusu Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika Mnamo Machi 18, 2023, “Redio Sputnik” ilitangaza taarifa ndefu kuhusu Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika "Afrika. Kurejea". Sinodi  Takatifu  yasisitiza  umuhimu  wa  miradi  ya  pamoja  ya Kanisa la Kiothodoksi  la Urusi  na Kanisa  la  Ethiopia Mnamo Machi 16, 2023, katika mkutano wa Sinodi Takatifu, Metropolitani wa Volokolamsk Antoni, Mwenyekiti wa Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Taasisi za Nje, aliwasilisha ripoti ya mkutano wa pili wa Tume ya Mazungumzo ya Pande Mbili, kati ya ... Ujumbe wa Kanisa la Ethiopia wazuru Urusi Mnamo Februari 11, 2023, kwa mwaliko wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill, na kwa baraka za Mtakatifu Patriarki-Katholikos wa Ethiopia Abuna Matayo, wajumbe wa Kanisa la Ethiopia waliwasili Mosko ili kushiriki katika kikao cha ... Ziara ya Metropolitani wa Klin Leonid nchini Moroko imehitimishwa Metropolitani Leonid alitembelea kanisa la Kupalishwa kwa Mtakatifu Bikira Maria mjini Kasablanka. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Esarkia ya Afrika, Metropolitani Leonid alifanya upadrisho wa kikasisi na wa kishemasi Shemasi Herman Edianga kutoka Uganda alitawazwa kuwa kasisi, Sergius Voemava kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati alitawazwa kuwa shemasi.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki