18 Machi 2023 18:13
Esarkia ya Kipatriaki inaendelea kuimarisha mwelekeo wa Misioni katika Elimu
Kazi inaendelea katika mojawapo ya maeneo ya kipaumbele zaidi kwa misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika - elimu.
11 Machi 2023 18:35
Mafunzo ya kawaida ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yaanza
Safari hii, masomo na mazoezi ya liturgia yataendeshwa kwa lugha ya Kifaransa.
02 Machi 2023 09:11
Ziara ya kikundi cha wamisionari chini ya uongozi wa Padri Georgi Maksimov inaendelea
Kule Kigali, mji mkuu wa Rwanda, Padri Georgi na mmisionari A.V. Lyulka walikutana na jamii ya Esarkia, ikiongozwa na Msomaji Stefan.
24 Febuari 2023 08:46
Watu 20 wapata Ubatizo Mtakatifu katika parokia ya Mtakatifu Yohana Zlatoust mjini Nyamata (Rwanda)
Baadaye, Padri Georgi Maksimov alikutana na Balozi wa Urusi nchini Rwanda, K.D. Chalyan.
15 Febuari 2023 14:18
Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, azuru Kamerun
Tarehe 12 Februari 2023, katika Wiki ya Mwana Mpotevu, siku ya kumbukizi ya walimu wa kiekumeni na watakatifu Basil Mkuu, Gregori Mtheolojia na Yohana Zlatousti, iliadhimishwa Liturgia ya upatanisho katika kanisa la Ufufuo wa Kristo ...
15 Febuari 2023 13:37
Ujumbe wa Kanisa la Ethiopia wazuru Urusi
Mnamo Februari 11, 2023, kwa mwaliko wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill, na kwa baraka za Mtakatifu Patriarki-Katholikos wa Ethiopia Abuna Matayo, wajumbe wa Kanisa la Ethiopia waliwasili Mosko ili kushiriki katika kikao cha ...
09 Febuari 2023 21:08
Esarkia ya Kipatriarki inaendelea kutekeleza miradi ya elimu katika nchi za Afrika
Mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka alifanya mihadhara katika vituo vya watoto yatima vya Mtume Petro katika kijiji cha Gesonso na Askofu Mkuu Atanasius katika kijiji cha Nyabigega (wilaya ya Kisii, Kenya).
28 Januari 2023 00:46
Metropolitani Varsonofi akutana na wanafunzi wa SPbDA kutoka Afrika na Kusini-mashariki mwa Asia.
Kikundi cha wanafunzi kiliambatana na mkuu wa Chuo, Askofu Siluan wa Peterhof.
28 Januari 2023 00:36
Mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu yatolewa katika parokia mbili za Esarkia nchini Kenya
Mihadhara hiyo inatolewa na mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka.
18 Januari 2023 16:16
Katika Sikukuu ya Tohara ya Bwana, Liturgia Takatifu iliadhimishwa mjini Bujumbura (Burundi)
Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, azuru Jamhuri ya Burundi.
19 Disemba 2022 21:37
Ziara ya Metropolitani wa Klin Leonid nchini Moroko imehitimishwa
Metropolitani Leonid alitembelea kanisa la Kupalishwa kwa Mtakatifu Bikira Maria mjini Kasablanka.
18 Disemba 2022 21:58
Metropolitani wa Klin Leonid alihudhuria tamasha la muziki wa Kirusi katika mji mkuu wa Moroko
Askofu Mkuu wa Kipatriarki aliwasili Moroko ili kushiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 90 ya Kanisa la Ufufuo wa Kristo kule Rabat - kanisa kongwe zaidi la Urusi barani Afrika.
18 Disemba 2022 21:49
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Esarkia ya Afrika, Metropolitani Leonid alifanya upadrisho wa kikasisi na wa kishemasi
Shemasi Herman Edianga kutoka Uganda alitawazwa kuwa kasisi, Sergius Voemava kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati alitawazwa kuwa shemasi.
15 Disemba 2022 22:16
Mkutano wa Makasisi Wakuu nchini Kenya
Kasisi Georgi Maksimov alikabidhi antiminsi kwa makasisi waliojiunga na Kanisa la Kiothodoksi la Urusi.