 11 Agosti 2023   20:39
		Kambi ya vijana yaanzishwa kwa ajili ya watoto wa waumini wa Esarkia ya Kipatriarki katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
		Wiki iliyopita, waumini vijana wa Kanisa la Mtakatifu Andrea mjini Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, walikwenda kwenye kambi ya vijana ya majira ya kiangazi.

		 04 Agosti 2023   20:35
		Makubaliano ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki, Kamishna wa Haki za Watoto na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto”,  yasainiwa
		Mnamo Julai 27, makubaliano ya pande tatu juu ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Kamishna wa Haki za Watoto – katika ofisi ya Rais wa Shirikisho la Urusi na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto” yalisainiwa kule St.  ...

		 01 Agosti 2023   20:33
		Mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki na Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki wasainiwa
		Mnamo Julai 27, 2023, kule St. Petersburg, pembezoni mwa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi – Afrika, kulisainiwa  mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na taasisi ya ANO “Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki”.