Архивы Albamu za picha - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Askofu Mkuu

Metropolitani wa Klin Leonid afanya mkutano na wawakilishi wa “NGO” “Kurugenzi ya Tamasha la Kimataifa la Vijana” Mnamo Oktoba 2, 2023, mjini Mosko, Askofu Mkuu wa Afrika- Metropolitani wa Klin Leonid alikutana na wawakilishi wa “NGO” (Kurugenzi ya Tamasha la Kimataifa la Vijana) – Alina Mamayeva na Ivan Gusakov. Mnamo Machi 2024, kufuatia agizo ... Metropolitani wa Klin Leonid akutana na kiongozi wa Kanisa lisilo rasmi la Kameruni Mnamo Septemba 25, katika viwanja vya Kanisa la Watakatifu Wote pale Kulishki, Mosko, Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid, alikutana na Daudi  Kwin, "askofu" wa kanisa lisilo rasmi la Kameruni. Mtakatifu Patriarki Kirill alimtunuku Metropolitani wa Klin Leonid Nishani ya Mtakatifu Innosenti wa Mosko Mnamo Julai 18, 2023, kwenye sikukuu ya kupatikana kwa nguvu za uadilifu za Mtakatifu Sergius, Abati wa Radonezh, katika kuhitimisha Liturgia Takatifu, katika Uwanja wa Kanisa Kuu la Utatu Mtakatifu  la monasteri ya Sergius, katika ukumbi wa ... Katika Wiki ya 10 ya Pentekoste, Metropolitani wa Klin Leonid aliadhimisha Liturgia Takatifu katika kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki Mnamo Agosti 13, Wiki ya 10 baada ya Pentekoste, siku ya kumbukumbu ya Shahidi Mtakatifu Benjamin, Metropolitani wa Petrograd na Gdov, Askofu Mkuu wa Afrika Metropolitani wa Klin Leonid, aliadhimisha Liturgia Takatifu katika kanisa la Watakatifu ... Makubaliano ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki, Kamishna wa Haki za Watoto na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto”, yasainiwa Mnamo Julai 27, makubaliano ya pande tatu juu ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Kamishna wa Haki za Watoto – katika ofisi ya Rais wa Shirikisho la Urusi na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto” yalisainiwa kule St. ... Mtakatifu Patriarki Kirill atembelea Stendi ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrikka kwenye Mkutano wa kilele wa Urusi-Afrika Mnamo Julai 27, 2023, Mtakatifu Patriarki Kirill wa Mosko na Urusi Yote alishiriki katika Mkutano wa kilele wa Pili wa Urusi—Afrika, uliofanyika St. Petersburg. Mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki na Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki wasainiwa Mnamo Julai 27, 2023, kule St. Petersburg, pembezoni mwa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi – Afrika, kulisainiwa  mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na taasisi ya ANO “Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki”. Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki katika Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi Mnamo Julai 19, 2023, Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi ulifanyika katika Monasteri ya Utatu Mtakatifu ya Sergius, chini ya uenyekiti wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill. Metropolitani wa Klin Leonid akutana na kundi la wanafunzi kutoka nchi za Afrika Wanafunzi kutoka Uganda, Burundi, Kamerun na Madagaska wamewasili Moskco ili kujiunga na shule za teolojia, ambapo kwanza lazima wajifunze lugha ya Kirusi. Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki Ibada Takatifu ya Patriarkia katika siku ya Radonitsa Mnamo Aprili 25, Jumanne ya wiki ya pili baada ya Pasaka, Siku ya Radonitsa, Patriarki Mtakatifu Kirill aliadhimisha Liturgia Takatifu na kumbukizi ya Pasaka ya marehemu wote, katika kanisa la Malaika Mkuu lililoko Kremlin mjini Mosko.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki