02 Agosti 2023 20:43
Mtakatifu Patriarki Kirill atembelea Stendi ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrikka kwenye Mkutano wa kilele wa Urusi-Afrika
Mnamo Julai 27, 2023, Mtakatifu Patriarki Kirill wa Mosko na Urusi Yote alishiriki katika Mkutano wa kilele wa Pili wa Urusi—Afrika, uliofanyika St. Petersburg.
22 Julai 2023 21:24
Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki katika Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi
Mnamo Julai 19, 2023, Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi ulifanyika katika Monasteri ya Utatu Mtakatifu ya Sergius, chini ya uenyekiti wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill.
25 Aprili 2023 15:20
Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki Ibada Takatifu ya Patriarkia katika siku ya Radonitsa
Mnamo Aprili 25, Jumanne ya wiki ya pili baada ya Pasaka, Siku ya Radonitsa, Patriarki Mtakatifu Kirill aliadhimisha Liturgia Takatifu na kumbukizi ya Pasaka ya marehemu wote, katika kanisa la Malaika Mkuu lililoko Kremlin mjini Mosko.