Архивы Albamu za picha - Page 2 of 5 - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Albamu za picha

Makubaliano ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki, Kamishna wa Haki za Watoto na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto”, yasainiwa Mnamo Julai 27, makubaliano ya pande tatu juu ya ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Kamishna wa Haki za Watoto – katika ofisi ya Rais wa Shirikisho la Urusi na Mfuko wa Hisani wa “Nchi kwa ajili ya Watoto” yalisainiwa kule St. ... Mtakatifu Patriarki Kirill atembelea Stendi ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrikka kwenye Mkutano wa kilele wa Urusi-Afrika Mnamo Julai 27, 2023, Mtakatifu Patriarki Kirill wa Mosko na Urusi Yote alishiriki katika Mkutano wa kilele wa Pili wa Urusi—Afrika, uliofanyika St. Petersburg. Mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki na Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki wasainiwa Mnamo Julai 27, 2023, kule St. Petersburg, pembezoni mwa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi – Afrika, kulisainiwa  mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na taasisi ya ANO “Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki”. Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki katika Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi Mnamo Julai 19, 2023, Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi ulifanyika katika Monasteri ya Utatu Mtakatifu ya Sergius, chini ya uenyekiti wa Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill. Wakenya sita walibatizwa katika parokia ya Mtakatifu Vladimir huko Vihiga Kenya Tarehe 25 Juni, katika Wiki ya 3 baada ya Pentekoste, Padre Kiriak Kipchumba aliadhimisha Ibada ya Misa takatifu katika parokia ya Mtakatifu Prince Vladimir Sawa-kwa-Mitume katika kijiji cha Serzhem wilaya ya Vihiga nchini Kenya. Idadi ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaongezeka Mnamotarehe 25 Juni, katika Wiki ya 3 ya Pentekoste, mapadre Pavel Matov na Thomas Sebiranda, waliojiunga na Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, waliungana na Padri Pavel Bulek katika parokia hiyo kwa heshima ya Mtakatifu Prince Vladimir ... Safari ya Mwenyekiti wa Idara ya Wamishonari ya Esarkia kwenda Angola imekamilika Safari ya mwenyekiti wa Idara ya Kimisionari ya Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi kutoka Esarkia ya  Africa, Padri George Maximov, kwenda Angola imekamilika. Liturujia ya kwanza yaadhimishwa katika mji wa Emevor nchini Nigeria Tarehe 25 Juni, Wiki ya 3 baada ya Pentekoste, Ibada ya kwanza ya Misa takatifu kwa waumini wa jumuiya ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika ilifanyika katika Kanisa la Mtakatifu Andrea wa Kwanza huko Emevor, Nigeria (katika jimbo la Delta). Katika Parokia ya Mtakatifu Yakobo nchini Kenya, ilifanyika sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste Mnamo tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre mkuu Peter Lutomia aliadhimisha Ibada ya Misa Takatifu katika parokia ya Mtakatifu Yakobo katika kijiji cha Chekalin nchini Kenya (Dekania ya Lugari, ... Sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste zilifanyika katika parokia ya Cape Town Tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre Nikolai Esterhuizen mbaye ni Paroko wa Parokia hiyo, aliongoza Ibada ya Misa katika kanisa la Mtakatifu Yohane wa Ngazi huko Cape Town (Afrika Kusini). ...
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki