Архивы Albamu za picha - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Utamaduni na elimu

Kwaya ya watoto yaundwa katika parokia ya Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni Katika kanisa la Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni(Afrika Kusini), kumeanzishwa mafundisho  ya kwaya ya watoto. Wanafunzi wa SpbDA kutoka nchi za Afrika wakutana na Askofu Mkuu wa Belarusi Yote Mnamo Agosti 14, kule mjini Minsk, Askofu Mkuu wa Belarus Yote - Metropolitani wa Minsk na Zaslavski Benyamini, alikutana na wanafunzi kutoka nchi za Afrika wanaosoma katika Chuo cha Theolojia cha St. Petersburg. Metropolitani wa Klin Leonid akutana na kundi la wanafunzi kutoka nchi za Afrika Wanafunzi kutoka Uganda, Burundi, Kamerun na Madagaska wamewasili Moskco ili kujiunga na shule za teolojia, ambapo kwanza lazima wajifunze lugha ya Kirusi. Mwenyekiti wa Idara ya Misioni atembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania) Jioni ya Aprili 13, 2023, usiku wa kuamkia Ijumaa Kuu ya Wiki Takatifu, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alitembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania). Mazoezi ya Liturgia ya Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yanaendelea Padri Sergii Voemava na wanafunzi wa kozi ya ufundishaji walishiriki katika huduma takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Nicholas kule Novaya Sloboda jijini Mosko,  kwa Kifaransa. Esarkia ya Kipatriaki inaendelea kuimarisha mwelekeo wa Misioni katika Elimu  Kazi inaendelea katika mojawapo ya maeneo ya kipaumbele zaidi kwa misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika - elimu. Metropolitani Varsonofi akutana na wanafunzi wa SPbDA kutoka Afrika na Kusini-mashariki mwa Asia. Kikundi cha wanafunzi kiliambatana na mkuu wa Chuo, Askofu Siluan wa Peterhof. Mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu yatolewa katika parokia mbili za Esarkia nchini Kenya Mihadhara hiyo inatolewa na mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki