Ziara ya Metropolitani wa Klin Leonid nchini Moroko imehitimishwa - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Ziara ya Metropolitani wa Klin Leonid nchini Moroko imehitimishwa

Tarehe 19 Desemba 2022, mwishoni mwa ziara yake nchini Moroko, Metropolitani wa Klin Leonid, Askofu Mkuu wa Afrika, alitembelea kanisa la adhama ya Kupaishwa kwa Mtakatifu Mama wa Mungu kule Kasablanka.Siku hiyo hiyo, Askofu alirudi Mosko.

Shirikisha katika mitandao ya kijamii:

Taarifa zote zilizo na maneno muhimu