10 Mei 2023 19:30
Vitabu vya maombi, katika lugha ya Kimalagasi, vyachapishwa
Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaendelea kufanya kazi ya kutafsiri fasihi ya kidini katika lugha za Kiafrika.
08 Mei 2023 18:18
Wakazi 14 wa Kaunti ya Nandi (Kenya) wabatizwa
Sakramenti hiyo iliendeshwa na mkuu wa Dekania ya Nandi, Padri Tito Kipnjen.
15 Aprili 2023 19:04
Mwenyekiti wa Idara ya Misioni atembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania)
Jioni ya Aprili 13, 2023, usiku wa kuamkia Ijumaa Kuu ya Wiki Takatifu, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alitembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania).
02 Machi 2023 09:11
Ziara ya kikundi cha wamisionari chini ya uongozi wa Padri Georgi Maksimov inaendelea
Kule Kigali, mji mkuu wa Rwanda, Padri Georgi na mmisionari A.V. Lyulka walikutana na jamii ya Esarkia, ikiongozwa na Msomaji Stefan.
27 Febuari 2023 14:07
Mafunzo ya kawaida kwa makasisi na walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yakamilika
Mmisionari A.V. Lyulka alitoa mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu katika majimbo yote tisa ya Kenya, mkazo maalum ukiwekwa katika masuala ya eklezia na skismolojia, sakramenti za Ubatizo na Toba katika maisha ya mkristo.
24 Febuari 2023 08:46
Watu 20 wapata Ubatizo Mtakatifu katika parokia ya Mtakatifu Yohana Zlatoust mjini Nyamata (Rwanda)
Baadaye, Padri Georgi Maksimov alikutana na Balozi wa Urusi nchini Rwanda, K.D. Chalyan.
15 Febuari 2023 14:10
Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yapata cheti cha usajili wa kiserikali nchini Kenya
Hii ni nchi ya sita barani Afrika ambako Esarkia ya Kipatriarki imethibitisha uwepo wake kisheria.
28 Januari 2023 00:36
Mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu yatolewa katika parokia mbili za Esarkia nchini Kenya
Mihadhara hiyo inatolewa na mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka.
23 Januari 2023 20:34
Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika imepata cheti cha usajili nchini Tanzania
Hii ni nchi ya tano katika bara la Afrika ambako Esarkia ya Kipatriarki imeimarisha kisheria uwepo wake.
18 Januari 2023 16:16
Katika Sikukuu ya Tohara ya Bwana, Liturgia Takatifu iliadhimishwa mjini Bujumbura (Burundi)
Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, azuru Jamhuri ya Burundi.
15 Disemba 2022 22:16
Mkutano wa Makasisi Wakuu nchini Kenya
Kasisi Georgi Maksimov alikabidhi antiminsi kwa makasisi waliojiunga na Kanisa la Kiothodoksi la Urusi.