Wakazi 14 wa Kaunti ya Nandi (Kenya) wabatizwa - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Wakazi 14 wa Kaunti ya Nandi (Kenya) wabatizwa

Tarehe 6 Mei 2023, watu 14 katika parokia ya Kasisi Zosima, katika kijiji cha Chemelil (Dekania ya Nandi, Kenya), walipokea Ubatizo Mtakatifu. Sakramenti hiyo iliendeshwa na mkuu wa Dekania ya Nandi, Padri Tito Kipnjen.

Baba PadriTito aliandaa wakatekumeni hao kwa muda wa miezi 3.

Huu ni Ubatizo wa pili kufanyika katika parokia ya Kasisi Zosima, baada ya kuhamia kwenye Kanisa la Kiothodoksi la Urusi; mnamo Agosti 2022, watu 34 walibatizwa.

Shirikisha katika mitandao ya kijamii:

Taarifa zote zilizo na maneno muhimu

-