Metropolitani wa Klin Leonid akutana na kundi la wanafunzi kutoka nchi za Afrika - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Metropolitani wa Klin Leonid akutana na kundi la wanafunzi kutoka nchi za Afrika

Mnamo Aprili 25, 2023, katika Uwanja wa Patriarkia wa Kanisa la Watakatifu Wote lililoko Kulishki  mjini Mosko, Askofu Mkuu wa Afrika – Metropolitani wa Klin Leonid alikutana na wanafunzi wanaojifunza  lugha ya Kirusi, kama lugha ya kigeni, katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Mosko (CKUM).

Wanafunzi kutoka Uganda, Burundi, Kamerun na Madagaska wamewasili Moskco ili kujiunga na shule za teolojia, ambapo kwanza lazima wajifunze lugha ya Kirusi.

Shirikisha katika mitandao ya kijamii: