Sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste zilifanyika katika parokia ya Cape Town - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste zilifanyika katika parokia ya Cape Town

Tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre Nikolai Esterhuizen mbaye ni Paroko wa Parokia hiyo, aliongoza Ibada ya Misa katika kanisa la Mtakatifu Yohane wa Ngazi huko Cape Town (Afrika Kusini).

Mwishoni mwa Liturujia, Padre Nikolai alisherehekea sikukuu ya Utatu Mtakatifu kwa kusoma sala kuu za kuabudu.

Siku hiyo hiyo, muumini wa Parokia hiyo alibatizwa kwa jina George kwa heshima ya Mtakatifu George Shahidi Mkuu na Mshindi. Sakramenti ilifanywa na Padre Nikolai.

 

Shirikisha katika mitandao ya kijamii:

Taarifa zote zilizo na maneno muhimu

-