Архивы Albamu za picha - Page 2 of 4 - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Albamu za picha

Idadi ya makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaongezeka Mnamotarehe 25 Juni, katika Wiki ya 3 ya Pentekoste, mapadre Pavel Matov na Thomas Sebiranda, waliojiunga na Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, waliungana na Padri Pavel Bulek katika parokia hiyo kwa heshima ya Mtakatifu Prince Vladimir ... Safari ya Mwenyekiti wa Idara ya Wamishonari ya Esarkia kwenda Angola imekamilika Safari ya mwenyekiti wa Idara ya Kimisionari ya Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi kutoka Esarkia ya  Africa, Padri George Maximov, kwenda Angola imekamilika. Liturujia ya kwanza yaadhimishwa katika mji wa Emevor nchini Nigeria Tarehe 25 Juni, Wiki ya 3 baada ya Pentekoste, Ibada ya kwanza ya Misa takatifu kwa waumini wa jumuiya ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika ilifanyika katika Kanisa la Mtakatifu Andrea wa Kwanza huko Emevor, Nigeria (katika jimbo la Delta). Katika Parokia ya Mtakatifu Yakobo nchini Kenya, ilifanyika sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste Mnamo tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre mkuu Peter Lutomia aliadhimisha Ibada ya Misa Takatifu katika parokia ya Mtakatifu Yakobo katika kijiji cha Chekalin nchini Kenya (Dekania ya Lugari, ... Sherehe za maadhimisho ya sikukuu ya Pentekoste zilifanyika katika parokia ya Cape Town Tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre Nikolai Esterhuizen mbaye ni Paroko wa Parokia hiyo, aliongoza Ibada ya Misa katika kanisa la Mtakatifu Yohane wa Ngazi huko Cape Town (Afrika Kusini). ... Katika kuadhimisha Sikukuu ya Utatu Mtakatifu, ibada ya Misa Takatifu ilifanyika katika parokia ya Maombezi ya Theotokos na parokia ya Mtakatifu Leonid nchini Nigeria Tarehe 4 Juni, 2023, Wiki ya 8 ya Pasaka, katika kuadhimisha Sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), Padre Daniel Agbaza na Padre Anastasy waliongoza ibada ya Misa takatifu katika parokia ya Maombezi ya Theotokos Mtakatifu katika kijiji cha ... Ibada ya kujiunga na Orthodoxy ilifanyika katika parokia za nchini Rwanda na Burundi Mnamo tarehe 4 Juni, 2023, katika kuadhimisha sherehe ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste), nchini Rwanda, baada ya tangazo la muda mrefu, watu watatu wasiokuwa Waorthodoksi – Konstantin, Elena na David – walikubaliwa kuingia kawenye ... Katika kuadhimisha Sikukuu ya Utatu Mtakatifu, Ibada ya Liturujia ilifanyika nchini Kenya katika parokia ya Mtakatifu Pantaleon Shahidi mkuu na mponyaji Tarehe 4 Juni 2023, Wiki ya 8 baada ya Pasaka, katika kuadhimisha sikukuu ya Utatu Mtakatifu (Pentekoste),  ibada ya Misa takatifu iliongozwa na Padre Mkuu Arseniy Chitwa katika parokia ya Mtakatifu Pantaleon Shahidi Mkuu na mponyaji huko ... Vitabu vya maombi, katika lugha ya Kimalagasi, vyachapishwa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaendelea kufanya kazi ya kutafsiri fasihi ya kidini katika lugha za Kiafrika. Wakazi 14 wa Kaunti ya Nandi (Kenya) wabatizwa Sakramenti hiyo iliendeshwa na mkuu wa Dekania ya Nandi, Padri Tito Kipnjen. Metropolitani wa Klin Leonid akutana na kundi la wanafunzi kutoka nchi za Afrika Wanafunzi kutoka Uganda, Burundi, Kamerun na Madagaska wamewasili Moskco ili kujiunga na shule za teolojia, ambapo kwanza lazima wajifunze lugha ya Kirusi. Metropolitani wa Klin Leonid ashiriki Ibada Takatifu ya Patriarkia katika siku ya Radonitsa Mnamo Aprili 25, Jumanne ya wiki ya pili baada ya Pasaka, Siku ya Radonitsa, Patriarki Mtakatifu Kirill aliadhimisha Liturgia Takatifu na kumbukizi ya Pasaka ya marehemu wote, katika kanisa la Malaika Mkuu lililoko Kremlin mjini Mosko. Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki washiriki ibada ya Pasaka katika Kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko Usiku wa Aprili 15-16, 2023, katika maadhimisho ya sikukuu ya Ufufuo Mtukufu wa Kristo, katika kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko, paroko wa kanisa hilo Kasisi Mkuu Andrei Novikov aliendesha ibada ya Alfajiri ya Pasaka na ... Mwenyekiti wa Idara ya Misioni atembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania) Jioni ya Aprili 13, 2023, usiku wa kuamkia Ijumaa Kuu ya Wiki Takatifu, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alitembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania). Mazoezi ya Liturgia ya Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika yanaendelea Padri Sergii Voemava na wanafunzi wa kozi ya ufundishaji walishiriki katika huduma takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Nicholas kule Novaya Sloboda jijini Mosko,  kwa Kifaransa.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki