04 Mei 2024 15:10
Ujumbe wa Pasaka Konstantin ya Zaraisk Makuhani, Mashemasi, Monastics na watoto wote waaminifu Patriarchal Exarchate ya Afrika
Wapendwa akina baba, Kaka na dada! Kristo amefufuka! Ninawapongeza kwa dhati kwa likizo kubwa – Pasaka! Pasaka, Ufufuo wa Kristo, ni sherehe ya ushindi wa mema juu ya uovu, maisha juu ya kifo. Kifo kiliingia katika maisha ya watu kama ...
16 Machi 2024 16:26
Jarida la Sinodi Takatifu juu ya kuthibitishwa kwa Askofu Constantine wa Zaraisk kama Patriarchal Exarch of Africa
Mnamo Machi 12, 2024, katika makao ya Patriarchal na Synodal katika Monasteri ya Danilov huko Moscow, Patriarch Kirill wa Moscow na All Rus' waliongoza mkutano mwingine wa Sinodi Takatifu ya Kanisa la Orthodox la Urusi.
06 Januari 2024 12:02
Ujumbe wa Krismasi wa Mtukufu kutoka kwa Askofu wa Zaraisk Konstantin, Kaimu Askofu Mkuu wa Afrika
Ujumbe wa Krismasi kutoka kwa Askofu wa Zaraisk Konstantin, Kaimu Askofu Mkuu wa Afrika kwa mapadri, watawa na waumini wote wa Esarkia ya Afrika ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi.
06 Januari 2024 12:00
Ujumbe wa Krismasi wa Patriarka Kirill wa Mosko na Urusi Yote
Ujumbe wa Krismasi wa Patriarka Kirill wa Mosko na Urusi Yote kwa wachungaji-wakuu, wachungaji, mashemasi, watawa na waumini wote wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi.
11 Agosti 2023 11:57
Misingi ya Mafundisho ya Kanisa kuhusu Familia na Malezi ya Mtoto: Mila na Usasa
Mnamo tarehe 27 Julai, 2023, Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid, alitoa hotuba juu ya "Misingi ya Mafundisho ya Kanisa kuhusu Familia na Malezi ya Mtoto: Mila na Usasa" katika kikao cha "Ushirikiano katika eneo la ulinzi wa haki ...
04 Agosti 2023 20:31
Nafasi ya Dini katika Maendeleo ya Mataifa ya Afrika katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi
Askofu Mkuu wa Afrika Metropolitani wa Klin Leonid alitoa hotuba katika kikao cha "Nafasi ya Dini katika Maendeleo ya mataifa ya Afrika, katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi", chini ya mwavuli wa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi-Afrik
25 Mei 2023 17:30
Salamu za Mtakatifu Patriarki Kirill katika maadhimisho ya “Siku ya Afrika”
Mtakatifu Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Kirill alitoa salamu katika maadhimisho ya “Siku ya Afrika”.
15 Aprili 2023 15:10
Salamu za Pasaka za Metropolitani wa Klin Leonid kwa Makasisi, Watawa na Walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na Dayosisi ya Yerevan-Armenia
Askofu Mkuu Metropolitani wa Klin Leonid alituma salamu za Pasaka kwa makasisi, watawa na walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na Dayosisi ya Yerevan-Armenia.
15 Aprili 2023 15:00
Salamu za Pasaka za Patriarki Kirill kwa Makasisi Wakuu, Makasisi, Mashemasi, Watawa na Waumini wote wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi
Patriarki wa Mosko na Urusi Yote Mtakatifu Kirill alituma salamu za Pasaka kwa makasisii wakuu, makasisi, mashemasi, watawa na waumini wote wa Kanisa la Kiiothodoksi la Urusi.
10 Januari 2023 00:15
Sinodi Takatifu yatambua azimio la “kushushwa cheo” kwa Metropolitani wa Klin Leonid kuwa halina nguvu ya kikanuni
Katika mkutano wa Sinodi Takatifu ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi, uliofanyika Desemba 29 , washiriki walijadili azimio la Sinodi ya Patriarkia ya Aleksandria kuhusu "kushushwa cheo" kwa Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid.
06 Januari 2023 12:03
Ujumbe wa Krismasi wa Patriarka Kirill wa Mosko na Urusi Yote
Ujumbe wa Krismasi wa Patriarka Kirill wa Mosko na Urusi Yote kwa wachungaji-wakuu, wachungaji, mashemasi, watawa na waumini wote wa Kanisa la Kiothodoksi la Urusi.
06 Januari 2023 12:02
UJUMBE WA KRISMASI Wa Mtukufu LEONID, Metropolitani wa Klin, Askofu Mkuu wa Africa
UJUMBE WA KRISMASI Wa Mtukufu LEONID, Metropolitani wa Klin, Askofu Mkuu wa Africa, kwa makasisi, watawa na walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Africa na Dayosisi ya Yerevan-Armenia ya Kanisa la Othodoksi la Urusi.
18 Disemba 2022 22:02
Pongezi za Metropolitani wa Klin Leonid katika kuadhimisha miaka 90 ya Kanisa la Ufufuo wa Kristo kule Rabat.
Metropolitani Leonid alimpongeza Kasisi Mkuu Maksim Massalitin, mkuu wa Kanisa la Ufufuo wa Kristo kule Rabat, pamoja na waumini wa parokia, katika kuadhimisha miaka 90 ya kuwekwa wakfu kwa kanisa hilo.
25 Julai 2022 23:57
SALAMU ZA MWADHAMA LEONID, METROPOLITANI WA KLIN, ASKOFU MKUU WA AFRICA, KATIKA HAFLA YA KUZINDUA TOVUTI YA ESARKIA
Wapendwa! Azimio la kihistoria la Sinodi Takatifu ya Kanisa la Othodoksi la Urusi, la tarehe 29 Desemba, 2021, juu ya uundaji wa Esarkia ya Kipatriarki ya Africa, lilitoa msukumo mkubwa wa kuthibitisha Uorthodoksi katika bara la Afrika. Katika ...