Архивы Nyaraka - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Askofu Mkuu

Ujumbe wa Krismasi wa Mtukufu kutoka kwa Askofu wa Zaraisk Konstantin, Kaimu Askofu Mkuu wa Afrika Ujumbe wa Krismasi kutoka kwa Askofu wa Zaraisk Konstantin, Kaimu Askofu Mkuu wa Afrika kwa mapadri, watawa na waumini wote wa Esarkia ya Afrika ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi. Misingi ya Mafundisho ya Kanisa kuhusu Familia na Malezi ya Mtoto: Mila na Usasa Mnamo tarehe 27 Julai, 2023, Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid, alitoa hotuba juu ya "Misingi ya Mafundisho ya Kanisa kuhusu Familia na Malezi ya Mtoto: Mila na Usasa" katika kikao cha "Ushirikiano katika eneo la ulinzi wa haki ... Nafasi ya Dini katika Maendeleo ya Mataifa ya Afrika katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi Askofu Mkuu wa Afrika Metropolitani wa Klin Leonid alitoa hotuba katika kikao cha "Nafasi ya Dini katika Maendeleo ya mataifa ya Afrika, katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi", chini ya mwavuli wa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi-Afrik Salamu za Pasaka za Metropolitani wa Klin Leonid kwa Makasisi, Watawa na Walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na Dayosisi ya Yerevan-Armenia Askofu Mkuu Metropolitani wa Klin Leonid alituma salamu za Pasaka kwa makasisi, watawa na walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na Dayosisi ya Yerevan-Armenia. Sinodi Takatifu yatambua azimio la “kushushwa cheo” kwa Metropolitani wa Klin Leonid kuwa halina nguvu ya kikanuni Katika mkutano wa Sinodi Takatifu ya Kanisa la Kiothodoksi la Urusi, uliofanyika Desemba 29 , washiriki walijadili azimio la Sinodi ya Patriarkia ya Aleksandria kuhusu "kushushwa cheo" kwa Askofu Mkuu wa Afrika, Metropolitani wa Klin Leonid. UJUMBE WA KRISMASI Wa Mtukufu LEONID, Metropolitani wa Klin, Askofu Mkuu wa Africa UJUMBE WA KRISMASI Wa Mtukufu LEONID, Metropolitani wa Klin, Askofu Mkuu wa Africa, kwa makasisi, watawa na walei wa Esarkia ya Kipatriarki ya Africa na Dayosisi ya Yerevan-Armenia ya Kanisa la Othodoksi la Urusi. Pongezi za Metropolitani wa Klin Leonid katika kuadhimisha miaka 90 ya Kanisa la Ufufuo wa Kristo kule Rabat. Metropolitani Leonid alimpongeza Kasisi Mkuu Maksim Massalitin, mkuu wa Kanisa la Ufufuo wa Kristo kule Rabat, pamoja na waumini wa parokia, katika kuadhimisha miaka 90 ya kuwekwa wakfu kwa kanisa hilo. SALAMU ZA MWADHAMA LEONID, METROPOLITANI WA KLIN, ASKOFU MKUU WA AFRICA, KATIKA HAFLA YA KUZINDUA TOVUTI YA ESARKIA Wapendwa! Azimio la kihistoria la Sinodi Takatifu ya Kanisa la Othodoksi la Urusi, la tarehe 29 Desemba, 2021, juu ya uundaji wa Esarkia ya Kipatriarki ya Africa, lilitoa msukumo mkubwa wa kuthibitisha Uorthodoksi katika bara la Afrika. Katika ...
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki