Mkutano wa kwanza wa undugu wa Kiothodoksi, kwa heshima ya Mtakatifu Musa Murin, ulifanyika katika parokia ya Mtakatifu Nyektarius nchini Kenya (dekania ya Vihiga).
“Kwa namna hii, wanaparokia wa kiume wanahusishwa zaidi katika mambo ya Kanisa, wanashikamana na wanaongeza ufahamu wao juu ya imani,” Askofu Mkuu wa Afrika Metropolitani wa Klin Leonid alibainisha katika ukurasa wake wa “telegram.”
“Ninamshukuru Padri Nyikanor Shilesi na makasisi wa dekania: Mapadri Atanasius Amidiva na Yohana Mutsotso, kwa maandalizi mazuri na uendeshaji mwema wa mkutano,” –askofu alitoa shukrani.
Askofu Mkuu wa Esarkia ya Afrika