Mnamo tarehe 6 Februari, 2023, mjini Mosko, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alikutana na Mkuu wa Kitengo cha Misaada ya Maendeleo ya Kimataifa cha Rossotrudnichestvo A.V. Sicheva.
Katika mazungumzo yao, walijadili masuala ya ushirikiano katika bara la Afrika.
Hivi sasa, miradi ya pamoja inatekelezwa kwa mafanikio makubwa katika nchi kadhaa, na kazi inaendelea katika maeneo-husika.