Mnamo Januari 19, 2023, Esarkia ya Kipatriarki yaAfrika iliimarisha kisheria uwepo wake nchini Tanzania.
Hii ni nchi ya tano katika bara la Afrika ambako Esarkiaimepata cheti cha usajili wa serikali. Mwaka jana, vyetivya usajili vilipatikana katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Zambia, Uganda na Nigeria.