Mnamo Februari 1, 2023, Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika ilikabidhiwa cheti cha usajili wa kiserikali nchini Kenya.
Hivi sasa Esarkia imethibitisha uwepo wake kisheria katika nchi sita za bara la Afrika. Mapema, Kanisa lilikuwa limekwishapata vyeti vya usajili wa kiserikali nchini Zambia, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Uganda, Nigeria na Tanzania.