Katika kanisa la Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni(Afrika Kusini), kumeanzishwa mafundisho ya kwaya ya watoto. Kikundi hicho kinajumuisha watoto wenye umri kuanzia miaka 7, na mafundisho yanafanywa na regent Vasili.
Katika video wanafunzi wanafanya mazoezi ya igizo la “Mfalme wa Mbinguni” kwa lughya ya Kiingereza.
Pia, mafundisho juu ya kanisa yameanza – watoto wanasoma sala za shukrani kwa ajili ya Ushirika Mtakatifu mwishoni mwa Liturgia.
Askofu Mkuu wa Esarkia ya Afrika