Архивы Albamu za picha - Page 2 of 5 - Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika
RUS | ENG | FRA | SWA | DEU | عرب | Ελλ | PT

Dayosisi ya Kusini mwa Afrika

Vitabu vya maombi, katika lugha ya Kimalagasi, vyachapishwa Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika inaendelea kufanya kazi ya kutafsiri fasihi ya kidini katika lugha za Kiafrika. Wakazi 14 wa Kaunti ya Nandi (Kenya) wabatizwa Sakramenti hiyo iliendeshwa na mkuu wa Dekania ya Nandi, Padri Tito Kipnjen. Mwenyekiti wa Idara ya Misioni atembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania) Jioni ya Aprili 13, 2023, usiku wa kuamkia Ijumaa Kuu ya Wiki Takatifu, mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, alitembelea Kituo cha Elimu cha Esarkia kilichopo Kisarawe (Tanzania). Ziara ya kikundi cha wamisionari chini ya uongozi wa Padri Georgi Maksimov inaendelea Kule Kigali, mji mkuu wa Rwanda, Padri Georgi na mmisionari A.V. Lyulka walikutana na jamii ya Esarkia, ikiongozwa na Msomaji Stefan. Watu 20 wapata Ubatizo Mtakatifu katika parokia ya Mtakatifu Yohana Zlatoust mjini Nyamata (Rwanda) Baadaye, Padri Georgi Maksimov alikutana na Balozi wa Urusi nchini Rwanda, K.D. Chalyan. Mihadhara juu ya Maandiko Matakatifu na Katekisimu yatolewa katika parokia mbili za Esarkia nchini Kenya Mihadhara hiyo inatolewa na mmisionari na mwalimu A.V. Lyulka. Katika Sikukuu ya Tohara ya Bwana, Liturgia Takatifu iliadhimishwa mjini Bujumbura (Burundi) Mwenyekiti wa Idara ya Misioni ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika, Padri Georgi Maksimov, azuru Jamhuri ya Burundi. Mkutano wa Makasisi Wakuu nchini Kenya Kasisi Georgi Maksimov alikabidhi antiminsi kwa makasisi waliojiunga na Kanisa la Kiothodoksi la Urusi.
patriarchia.ru
Tovuti rasmi ya Patriarkia ya Moscow
mospat.ru
Tovuti rasmi ya Idara ya Mahusiano ya Kanisa na Nchi za Nje
Hramkulishki.ru
Kanisa la Watakatifu Wote kule Kulishki