Mnamo Julai 27, 2023, kule St. Petersburg, pembezoni mwa Mkutano wa Pili wa Kilele wa Urusi – Afrika, kulisainiwa mkataba wa ushirikiano kati ya Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika na taasisi ya ANO “Baraza la Kikanda la Afrika Mashariki”.
Taasisi hiyo inasimamia na kuendeleza masilahi ya Urusi barani Afrika ikisaidiwa na Kanisa la Kiothodoksi la Urusi nchini Uganda.
Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika