28 Januari 2023 00:59
Makasisi wa Kanisa la Urusi huendesha ibada barani Afrika kwa lugha mbalimbali
Metropolitani Leonid aliwapongeza watu wote wa bara hilo katika Siku ya Kimataifa ya Utamaduni wa Afrika.
13 Januari 2023 19:40
Padri Herman Ediyangu (Uganda): Kwangu mimi, hii ni hatua nyingine ya kusonga mbele katika ushiriki wa maendeleo ya kiroho ya watu wetu
Mwafrika wa kwanza aliyewekewa mikono kuwa kasisi katika Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika anasimulia juu ya upekee wa Uothodoksi katika “Bara Jeusi”.
20 Disemba 2022 22:12
Metropolitani wa Klin Leonid: Kwa sasa, Esarkia ya Kipatriarki ya Afrika iko katika nchi 18 za bara hilo
“Ikiwa hali hii itaendelea, basi katika miaka mitatu hadi mitano tutaweza kulitanda karibu bara zima la Afrika," Askofu Mkuu alisema katika mahojiano na mwandishi wa TASS.