22 Agosti 2023 14:07
Kwaya ya watoto yaundwa katika parokia ya Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni
Katika kanisa la Mtakatifu Yohana Lestvichnik jijini Keptauni(Afrika Kusini), kumeanzishwa mafundisho ya kwaya ya watoto.
16 Aprili 2023 19:09
Makasisi wa Esarkia ya Kipatriarki washiriki ibada ya Pasaka katika Kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko
Usiku wa Aprili 15-16, 2023, katika maadhimisho ya sikukuu ya Ufufuo Mtukufu wa Kristo, katika kanisa la Utatu Mtakatifu kule Vorobyovii Gori mjini Mosko, paroko wa kanisa hilo Kasisi Mkuu Andrei Novikov aliendesha ibada ya Alfajiri ya Pasaka na ...
17 Machi 2023 18:55
Jinsi ya kuoka prosphoras kulingana na mila ya kanisa la Orthodoxi la Urusi
Mtawa Matrona (Jepchirchir) kutoka Kenya, Aliyetawaswa Kwa mtindo na Askofu mkuu, metropoliti Leonid wa Klin kuwa katika mpango Ndogo, mnamo tarehe 4 Yanuari 2023, anashiriki kichocheo cha prosphoras kulingana na mila ya Kanisa la Orthodox la Urusi.
04 Disemba 2022 22:36
Mazoezi ya kiliturgia ya wahamiaji kutoka Afrika katika kanisa la Mtakatifu Nikolas kule Novaya Sloboda
Katika kanisa la Mtakatifu Nikolas Mtenda-miujiza kule Novaya Sloboda, wanafunzi wa kozi za ukasisi hufanya mazoezi kila siku.
16 Novemba 2022 22:46
Darasa la lugha ya Kirusi katika shule nchini Kameruni
Katika nchi nyingi za bara la Afrika, kunashuhudiwa ongezeko kubwa la shauku ya watu katika kujifunza lugha ya Kirusi.