Eneo la uwajibikaji kihuduma za kichungaji ni: Jamhuri ya Afrika Kusini, Ufalme wa Lesoto, Ufalme wa Eswatini, Jamhuri ya Namibia, Jamhuri ya Botswana, Jamhuri ya Zimbabwe, Jamhuri ya Msumbiji, Jamhuri ya Angola, Jamhuri ya Zambia, Jamhuri ya Malawi, Jamhuri ya Madagaska, Jamhuri ya Morisi, Muungano wa Visiwa vya Komoro, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jamhuri ya Kenya, Jamhuri ya Uganda, Jamhuri ya Rwanda, Jamhuri ya Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Gabon, Jamhuri ya Guinea ya Ikweta, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Sao Tome na Prinsipe.
Parokia ya Stavropol, ya Patriarkia ya Mosko, iliyoko katika Jamhuri ya Afrika Kusini, ilijumuishwa katika Dayosisi ya Afrika ya Kusini.
Cheo cha Askofu Kiongozi: " Wa Johannesburg na Afrika ya Kusini".
Askofu mtawala: Askofu mkuu Konstantin wa Zaraisk.